iqna

IQNA

Kundi la Waislamu wa mji wa Buffalo katika jimbo la New York huko Marekani imewagawia wananchi wa mji huo mashada ya maua yenye semi na maneno ya Mitume wa dini za mbinguni.
Habari ID: 1460244    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/14