iqna

IQNA

Abiria Waislamu wamezuia kuuawa wenzao wa Kikristo huko Kenya katika shambulio la magaidi wakufurishaji wa al Shabab.
Habari ID: 3468865    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/23

Magaidi wa kundi al Qaida wamemuua imam mmoja wa Yemen anayefahamika kwa kupinga mashambulizi ya umwagaji damu y al iyoanzishwa na Saudia katika ardhi ya Yemen mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu.
Habari ID: 3316631    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/21

Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri Ahmad al Tayyib ametoa taarifa akilaani kitendo cha kundi la kigaidi la Daesh cha kumchoma moto akiwa hai rubani Moaz al -Kassasbeh wa Jordan. Amekitaja kitendo hicho kuwa ni cha kigaidi na kishetani.
Habari ID: 2809497    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/04

Kituo cha Kiislamu cha al Azhar nchini Misri kimetoa wito wa kufukuzwa magaidi wote katika nchi za Waislamu.
Habari ID: 2617813    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/12

Kongamano la Kimataifa la Kupambana na Ugaidi na Uchupaji Mipaka lililokuwa likifanyika katika taasisi ya al Azhar nchini Misri limesisitiza katika taarifa yake ya mwisho kuwa, makundi ya kitakfiri na yenye misimamo mik al i hayana uhusiano wowote na Uislamu.
Habari ID: 2615265    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/05

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar mjini Cairo Misri amelaani vik al i jinai zinazofanywa na makundi ya kitakfiri duniani hasa kundi la Daesh (ISIL).
Habari ID: 2615011    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/04

Sheikh Ahmad Karima Mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri amepigwa marufuku kufundisha na siku zijazo atafunguliwa mashtaka mahakamani, kwa kosa eti la kuitembelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 1470086    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/04

Waislamu wa Kishia nchini Misri wamemw al ika Sheikh Mkuu wa al -Azhar kuhudhuria shughuli ya maombolezo ya Ashura ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein mjukuu wa Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 1465815    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/31