iqna

IQNA

Ndege za kivita za Saudi Arabia jana usiku kwa mara nyingine tena zimeyashambulia maeneo mbalimbali ya mji mkuu wa Yemen Sana'a. Ndege za kivita za Saudi Arabia jana usiku zililishambulia kwa mara kadhaa eneo la al al-Urqub Khulan huko katika mji mkuu Sana'a.
Habari ID: 3217759    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/27