iqna

IQNA

brazil
Waislamu na kadhia ya Gaza
IQNA - Katika Amerika ya Kusini, jamii za Waislamu zinaadhimisha Ramadhani mwaka huu bila mazingira ya sherehe ambayo ni ya kawaida wakati wa mlo wa futari kutokana na mateso huko Gaza, ambapo zaidi ya Wapalestina 32,500 wameuawa tangu utawala wa Israel uanzishe vita eneo hilo Oktoba 7.
Habari ID: 3478603    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/30

Jinai za Israel
IQNA - Brazil imesisitiza haja ya utawala haramu wa Israel kufuata kikamilifu hatua za dharura zilizoamriwa na Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) mwezi uliopita kuhusu hali ya Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478421    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/27

Jinai za Israel
IQNA-Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil amesema kuwa, kinachofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ni mauaji ya KIMBARI.
Habari ID: 3478407    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/24

Uislamu Brazil
Waziri wa Utalii wa Brazil Daniela Carneiro ametembelea maonyesho ya Qur'ani Tukufu yanayoendelea katika nchi hiyo ya Amerika Kusini.
Habari ID: 3477097    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/04

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Sao Paulo, jiji lenye watu wengi zaidi nchini Brazili, ni mwenyeji wa maonyesho ya Qur’ani Tukufu yatakayoandelea kwa wiki moja.
Habari ID: 3476937    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/30

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Imam Ali huko Ponta Grossa nchini Brazil umehujumiwa Ijumaa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu, wametangaza wasimamizi wa msikiti huo.
Habari ID: 3474615    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/29

TEHRAN (IQNA)- Sergio Ricardo Messias Neves, ambaye pia anajulikana kama Sergio au Serginho, ni mchazaji wa zamani wa soka nchini Brazil ambaye alisilimu baada ya kucheza soka katika nchi kadhaa za Mashariki ya Kati (Asia Magharibi).
Habari ID: 3471990    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/08

TEHRAN (IQNA) Brazil imeulaani utawala wa Israel kwa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina.
Habari ID: 3470919    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/05

Michezo ya Olimpiki mwaka 2016 imeanza Jumamosi katika mji wa Rio de Janeiro nchini Brazil huku wanariadha Waislamu wakihakikishwa kupata chakula halali.
Habari ID: 3470499    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/06

Mjumbe mwandamizi wa Kamati ya Afya ya Shirikisho la Soka Duniani FIFA amesema kuwa, wachezaji Waislamu watakaofunga mwezi mtukufu wa Ramadhani, hawataathirika kiafya wakati wa kuendelea michuano ya kombe la dunia nchini Brazil.
Habari ID: 1422159    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/24

Sheikhe mkuu wa Al Azhar Ahmad Tayyib amehutubu katika sherehe za ufunguzi katika sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia Brazil baadaye hii leo
Habari ID: 1416916    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/12