IQNA

12:29 - June 08, 2019
News ID: 3471990
TEHRAN (IQNA)- Sergio Ricardo Messias Neves, ambaye pia anajulikana kama Sergio au Serginho, ni mchazaji wa zamani wa soka nchini Brazil ambaye alisilimu baada ya kucheza soka katika nchi kadhaa za Mashariki ya Kati (Asia Magharibi).

Hivi karibuni, mchezaji huyo alijiunga na mamilioni ya Waislamu duniani na kufika katika mji mtakatifu wa Makka kwa ajili ya Ibada ya Umrah katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Kati ya timu za soka ambazo Serginho aliwahi kuchezea eneo kama fowadi Mni Fenerbache ya Uturuki, Ali Ittihad na Al Hilal za Saudi Arabia na Al Sadd ya Qatar.

3468687

Name:
Email:
* Comment:
* captcha: