iqna

IQNA

WHO
Hali ya hatari duniani
TEHRAN (IQNA)- Hatimaye ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19 umetangazwa kuwa sasa umeenea duniani kote (global pandemic), amesema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, WHO , Dkt. Tedros Ghebreyesus.
Habari ID: 3472555    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/11