Francesca Albanese

IQNA

IQNA – Mtaalamu Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ardhi za Palestina Zinazokaliwa kwa Mabavu, Francesca Albanese, ametoa wito siku ya Jumapili kwa hati ya haraka ya kukamatwa kwa Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni, Yisrael Katz, baada ya waziri huyo kukiri kufanya jinai za kivita huko Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3482478   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/13