IQNA – Meya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, amemtaja Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuwa ni mhalifu wa kivita, na kuitaka serikali ya Marekani kutekeleza hati ya kukamatwa kwake iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iwapo atatia mguu katika ardhi ya Marekani.
Habari ID: 3482524 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/22
IQNA – Meya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, amesema Jumamosi kuwa utawala wake unachunguza iwapo una mamlaka ya kisheria ya kumkamata Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atatembelea jiji hilo kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba.
Habari ID: 3482506 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/19