Abbas Araghchi

IQNA

IQNA – Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa harakati ya Imam Hussein (AS) si tukio la kihistoria na kidini tu, bali ni madrasa ya maisha na nyaraka ya msingi ya kusimama dhidi ya dhulma, upotovu na ufisadi.
Habari ID: 3482605   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/09