iqna

IQNA

Jinai za Isarel
TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa Wazi wa Kamati ya Utendaji ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) Jumanne ulifanyika kuchunguza kuendelea hujuma za Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem), kwa ombi la Dola ya Palestina na Ufalme wa Jordan.
Habari ID: 3476381    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/10

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Wazayuni wameandamana kupinga baraza jipya la mawaziri la Waziri Mkuu wa Israel lenye misimamo mikali. Baraza hilo jipya la Benjamin Netanyahu linatabiriwa kuanzisha sera hatari katika za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina la 'Israel'.
Habari ID: 3476375    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/08

Upinzani dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Oman ametangaza kuafiki na kuunga mkono mpango wa bunge la nchi hiyo wa kususiwa utawala haramu wa Israel unaotenda jinai kila uchao huko Palestina.
Habari ID: 3476339    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, kwa kupitisha azimio, limetaka maoni ya ushauri ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kuhusu namna utawala ghasibu wa Israel unavyokiuka haki ya Wa palestina ya kujitawala na kujiainishia hatima yao na utawala.
Habari ID: 3476338    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Ushauri la Oman limeikabidhi Kamati wa Kutunga Sheria na Kulinda Haki ya nchi hiyo; muswada wa marekebisho ya kifungu cha 10 cha sheria ya kuharamisha na kupiga marufuku kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili upasishwe rasmi.
Habari ID: 3476320    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/28

Mapambano ya Wapalestina
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi amewatolea mwito Wa palestina wa kudumisha umoja na mshikamano baina yao ili kukabiliana na serikali mpya ya utawala haramu wa Israel inayoongozwa na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu.
Habari ID: 3476310    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/26

Jinai za Isarel
TEHRAN (IQNA) - Takriban Wa palestina 74 waliokuwa wakishikiliwa katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel wamekufa shahidi kutokana na kunyimwa huduma kiafya.
Habari ID: 3476287    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiisalmu ya Palestina, Hamas, imetoa wito kwa Wa palestina kuzidisha uwepo wao katika eneo la Msikiti wa Al-Aqsa mjini Al Quds (Jerusalem) ili kulinda eneo takatifu dhidi ya uvamizi wa Israel na njama za kubadilisha hadhi yake.
Habari ID: 3476260    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/17

Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA) - Maelfu ya mashabiki Waislamu waliohudhuria mechi ya Morocco dhidi ya Ufaransa nchini Qatar walikariri tamko la Kiislamu la imani, au shahada, siku ya Jumatano, na kutuma ujumbe kwa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aliyekuwa uwanjani hapo.
Habari ID: 3476258    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mappambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas ilikaribisha kupitishwa kwa azimio la Umoja wa Mataifa linalotambua mamlaka ya Palestina juu ya maliasili katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3476256    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, anasema ardhi ya Palestina si mahala pa utawala vamizi na ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3476254    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/15

Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA) - Mwanaharakati, ambaye ameshuhudia uungwaji mkono kwa Palestina wakati wa Kombe la Dunia la 2022, anasema tukio linaonyesha kile kinachoitwa kuhalalisha utawala wa Israel "sio kudumu" kwa sababu "watu wanapinga. "
Habari ID: 3476229    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/10

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Hivi karibuni utawala wa Kizayuni wa Israel uliondoa kuba na hilali ya mnara wa Ngome ya al-Quds (Jerusalem), kusini-magharibi mwa Mji Mkongwe.
Habari ID: 3476217    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/08

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Ki palestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3476216    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/08

TEHRAN (IQNA) - Watu wamefanya maandamano katika maeneo tofauti ya Morocco ili kutoa maoni yao ya kupinga kuhalalisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3476209    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/06

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Afya ya Palestina imetoa ripoti yake na kusema kuwa, tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2022 hadi hivi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshaua shahidi Wa palestina 205 katika sehemu mbalimbali za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
Habari ID: 3476181    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kwa mara nyingine tena kimeutaka ulimwengu uzingatia katika machungu na mateso ya taifa la Palestina na kukaliwa kwa mabavu ardhi sambamba na kulaani jinai za umwagaji damu zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi Wa palestina .
Habari ID: 3476177    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Mashirika 198 ya Palestina na kimataifa yameitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza jinai za utawala wa kikoloni wa Israel dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3476164    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kundi la walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali walivamia Msikiti wa Al-Aqsa huko mjini Al Quds (Jerusalem) wakiwa wametekeleza hujuma hiyo Jumapili asubuhi.
Habari ID: 3476158    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/27

Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA) – Mashabiki wa Tunisia waliinua bendera ya 'Palestine Huru' dakika ya 48 dhidi ya Australia kumkumbuka Tukio la Nakba.
Habari ID: 3476156    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/27