iqna

IQNA

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Afya ya Palestina imetoa ripoti yake na kusema kuwa, tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2022 hadi hivi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshaua shahidi Wa palestina 205 katika sehemu mbalimbali za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
Habari ID: 3476181    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kwa mara nyingine tena kimeutaka ulimwengu uzingatia katika machungu na mateso ya taifa la Palestina na kukaliwa kwa mabavu ardhi sambamba na kulaani jinai za umwagaji damu zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi Wa palestina .
Habari ID: 3476177    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Mashirika 198 ya Palestina na kimataifa yameitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza jinai za utawala wa kikoloni wa Israel dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3476164    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kundi la walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali walivamia Msikiti wa Al-Aqsa huko mjini Al Quds (Jerusalem) wakiwa wametekeleza hujuma hiyo Jumapili asubuhi.
Habari ID: 3476158    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/27

Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA) – Mashabiki wa Tunisia waliinua bendera ya 'Palestine Huru' dakika ya 48 dhidi ya Australia kumkumbuka Tukio la Nakba.
Habari ID: 3476156    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/27

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina imesema inajiandaa kwa "vita vikubwa" na utawala wa kikoloni wa Israel unaokalia ardhi za Palestina kwa mabavu, mwanachama wa harakati hiyo alisema.
Habari ID: 3476147    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25

Jibu kwa Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA0- Makundi mbalimbali ya Palestina yamesema kuwa, operesheni za kishujaa iliyofanywa dhidi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Baytul Muqaddas ni fakhari kwa taifa la Palestina, ni katika kujibu jinai za Wazayuni na ni kufeli muundo wa kiusalama wa Israel kukabiliana na wanamapambano wa Palestina.
Habari ID: 3476138    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/24

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina Hamas ametoa wito kwa wananchi wa Palestina kuzidisha mapambano yao dhidi ya Wazayuni wavamizi wanaokalia ardhi za Palestina kwa mabavu hasa mji Al-Quds (Jerusalem) ili kuulinda Msikiti wa Al-Aqsa ulio mjini humo.
Habari ID: 3476110    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/18

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya kuhifadhi Qur’ani yamezivutia familia nyingi huko Al-Quds (Jerusalem), katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3476102    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/17

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Wa palestina wanaendelea kulaani vikali njama za utawala haramu wa Israel za Kuyahudisha na kupotosha ukweli katika vitabu vya shule katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwamabavu na utawala huo.
Habari ID: 3476068    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kamati moja ya Palestina inasema utawala haramu wa Israel unajenga makaburi bandia karibu na Msikiti wa Al-Aqsa ili kughushi ushahidi katika siku zijazo.
Habari ID: 3476056    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/08

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) – Washiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu nchini Algeria wamesisitiza ulazima wa kukomesha uvamizi wa utawala haramu wa Israel dhidi ya Palestina.
Habari ID: 3476028    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/03

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa leo asubuhi amehutubia katika kikao cha kiduru cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: Israel inapasa kuhitimisha hatua zake za kuzikalia kwa mabavu ardhi za Waarabu ikiwemo miinuko ya Golan huko Syria, ardhi za Lebanon na Palestina.
Habari ID: 3476023    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/02

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mawaziri watano wa zamani wa Ulaya wamezitaja sera za utawala wa Israel dhidi ya Wa palestina kama "kosa la ubaguzi wa rangi".
Habari ID: 3476018    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

Kuhifadhi Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Katika sherehe katika ardhi ya Palestina ya Ukanda wa Gaza, wahifadhi 143 wa Qur’ani Tukufu wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyohudhuriwa na idadi kubwa ya watu na maafisa wa serikali.
Habari ID: 3476011    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/31

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia makazi ya Wa palestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wa palestina sita.
Habari ID: 3475989    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/25

Umoja wa Wapalestina
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imekaribisha tangazo la maridhiano na umoja wa kitaifa baina ya makundi ya Palestina, ambalo lilitiwa saini hivi karibuni nchini Algeria.
Habari ID: 3475938    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/16

Mapambano dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA) - Mwanazuoni mmoja wa ngazi za juu wa Lebanon amelaani baadhi ya tawala za Kiarabu kwa kurejesha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel, akisema makubaliano yao na Wazayuni hayana thamani yoyote ya kistratijia.
Habari ID: 3475882    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/05

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Mamlaka ya Palestina (PA) imeyataja maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo "mstari mwekundu".
Habari ID: 3475876    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/04

Kadhia ya al-Quds
TEHRAN (IQNA) - Wajumbe wote wa nchi za Kiarabu nchini Uingereza wameripotiwa kutoa wito kwa nchi hiyo kutohamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi Al-Qud (Jerusalem) .
Habari ID: 3475863    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01