iqna

IQNA

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mawaziri watano wa zamani wa Ulaya wamezitaja sera za utawala wa Israel dhidi ya Wa palestina kama "kosa la ubaguzi wa rangi".
Habari ID: 3476018    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

Kuhifadhi Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Katika sherehe katika ardhi ya Palestina ya Ukanda wa Gaza, wahifadhi 143 wa Qur’ani Tukufu wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyohudhuriwa na idadi kubwa ya watu na maafisa wa serikali.
Habari ID: 3476011    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/31

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia makazi ya Wa palestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wa palestina sita.
Habari ID: 3475989    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/25

Umoja wa Wapalestina
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imekaribisha tangazo la maridhiano na umoja wa kitaifa baina ya makundi ya Palestina, ambalo lilitiwa saini hivi karibuni nchini Algeria.
Habari ID: 3475938    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/16

Mapambano dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA) - Mwanazuoni mmoja wa ngazi za juu wa Lebanon amelaani baadhi ya tawala za Kiarabu kwa kurejesha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel, akisema makubaliano yao na Wazayuni hayana thamani yoyote ya kistratijia.
Habari ID: 3475882    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/05

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Mamlaka ya Palestina (PA) imeyataja maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo "mstari mwekundu".
Habari ID: 3475876    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/04

Kadhia ya al-Quds
TEHRAN (IQNA) - Wajumbe wote wa nchi za Kiarabu nchini Uingereza wameripotiwa kutoa wito kwa nchi hiyo kutohamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi Al-Qud (Jerusalem) .
Habari ID: 3475863    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mjumbe mwandamizi wa ofiisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, utawala haramu wa Israel unatumia vibaya udhaifu ambao umeugubika ulimwengu wa Kiarabu na hivyo kuudhibiti mji wa Quds (Jerusalem) na msikiti mtakatifu wa al-Aqsa ulio mjini humo.
Habari ID: 3475846    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/27

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune alisema suala la Palestina ndilo suala la msingi kwa nchi yake.
Habari ID: 3475837    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/25

Kadhia ya Quds
TEHRAN(IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameashiria mpango wa Uingereza wa kuuhamisha ubalozi ulioko Tel Aviv hadi Quds Tukufu(Jerusalem) na kueleza kuwa: hatua hiyo haibadili kivyovyote uhakika wa kihistoria.
Habari ID: 3475835    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/24

Palestina
TEHRAN (IQNA) – Jordan itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa kuhusu mji mtakatifu wa Al-Quds (Jerusalem) mwezi ujao.
Habari ID: 3475834    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/24

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) -Walowezi wa Kizayuni wakiwa wanalindwa na askari wengi wa utawala haramu wa Israel walivamia uwanja wa Msikiti wa Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) siku ya Jumapili, na kufanya ibada za kichochezi za Kiyahudi katika eneo hilo takatifu la Kiislamu
Habari ID: 3475808    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/19

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, utawala ghasibu wa Israel umebomoa majengo 44 ya Wa palestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo ikiwa ni muendelezo wa siasa zake za unyakuzi wa ardhi za Palestinakinyume cha sheria.
Habari ID: 3475803    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18

Upinzani wa Israel
TEHRAN (IQNA) - Majaji wa Algeria wamesusia mkutano wa kimataifa huko Tel Aviv, huku wakibainisha sababu ya hatua hiyo ni upinzani wao kwa mkakati wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3475802    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Septemba 16, inasadifiana na kumbukumbu ya miaka 40 ya uhalifu wa Sabra na Shatila.
Habari ID: 3475794    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, mapambano ya watu wa Palestina na Yemen ni muendelezo wa mapambano ya Ashura katika jangwa la Karbala mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 3475790    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kijana wa Ki palestina aliuawa shahidi wakati wa uvamizi wa wanajeshi katili wa Israel karibu na mji wa Jenin katika sehemu ya kaskazini ya Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3475788    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/15

Mapambano ya Wapalestina
TEHRAN (IQNA) – Ujumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina ( Hamas ) umefanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wa Kiislamu na Kikristo katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
Habari ID: 3475786    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/15

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi vijana wawili wa Ki palestina kwa kuwapiga risasi kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3475782    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/14

Palestina
TEHRAN (IQNA) – Maelfu ya Wa palestina waliswali Sala ya jamaa ya Fajr (alfajiri) katika Msikiti wa Al-Aqsa ulio kaitka mji unaokaliwa kwa mabavu na Israel wa al-Quds (Jerusalem) siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3475757    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/09