Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesitna HAMAS amezungumzia ripoti ya jeshi la utawala wa Kizayuni baada ya utawala huo katili kumuua shahidi mwandishi M palestina , Shireen Abu Akleh na sawa na Wa palestina wote, ametaka utawala huo dhalimu upewe adhabu kali.
Habari ID: 3475745 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeulaani utawala haramu wa Israel kwa kuruhusu kuandaliwa matamasha katika Msikiti Mkuu wa Beersheba (Biʾr as-Sab).
Habari ID: 3475727 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/03
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limeua Wa palestina zaidi ya 110 na wengine wengi kujeruhiwa hadi sasa mwaka huu.
Habari ID: 3475723 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/02
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai na chokochoko zake dhidi ya mataifa mawili ya Waislamu katika eneo hili la Asia Magharibi.
Habari ID: 3475718 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/01
Kujipenyeza Wazayuni
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amekosoa viikali uamuzi wa utawala wa Aal Khalifa wa kuanzisha kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi katika mji mkuu Manama na kueleza kwamba, hatua hiyo ni jinai na dhulma ya wazi dhidi ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3475711 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni, utawala haramu wa Israel umewatia mbaroni zaidi ya wanawake 16,000 wa Ki palestina tangu mwaka 1967 huku mashirika ya haki yakionya kuhusu hali mbaya ya wafungwa wa kike katika jela za kuogofya za Israel.
Habari ID: 3475694 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/28
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amesisitiza uharamu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni wa Israel katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina na kubainisha kuwa hatua hiyo ni kikwazo kikubwa cha amani.
Habari ID: 3475685 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/26
Ukanda wa Gaza
TEHRAN (IQNA) – Mkusanyiko wa waliohifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu ulifanyika katika Ukanda wa Gaza ambapo washiriki walihitimisha Qur'ani.
Habari ID: 3475672 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/24
Uungaji mkono Palestina
TEHRAN (IQNA) – Picha za kuunga mkono Palestina zilizoonyeshwa na mashabiki wa timu ya soka ya Zamalek ya Misri zimesambaa miongoni mwa watumiaji wa Kiarabu wa mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3475660 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/21
Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Khatibu wa Kisunni wa Iraq anasema utawala wa Kizayuni wa Israel unapanda mbegu za mifarakano kati ya mataifa ya Kiislamu ili kufikia malengo yake.
Habari ID: 3475651 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/20
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Vikosi vya kijeshi vya utawala haramu wa Israel vimemuua M palestina mmoja katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan alipokuwa akitoka msikitini kuelekea nyumbani kwake baada ya Sala ya Alfajiri
Habari ID: 3475648 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali kuendelea kupasishwa mipango ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kkwa mabavu za Palestina.
Habari ID: 3475640 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/18
Mapambano dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA) - Afisa wa harakati ya mapambano ya Jihad Islami ya Palestina anasema mapambano na muqawama dhidi ya utawala vamizi na ghasibu wa Israel yataendelea hadi ukombozi wa ardhi zote za Palestina.
Habari ID: 3475637 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/17
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kampeni ya ‘Kujitolea kwa ajili ya Gaza’ imezinduliwa na Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Qatar.
Habari ID: 3475631 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umekiri kuwaua watoto watano Wa palestina katika hujuma yake ya hivi karibuni dhidi ya Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3475629 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16
Mapambano ya Palestina
TEHRAN(IQNA)- Mwakilishi wa harakati ya Jihad Islami ya kupigania ukombozi wa Palestina ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uungajo mkono wake kwa taifa na harakai za mapamabo ya Palestina.
Habari ID: 3475612 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/12
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema maroketi na makombora kutoka Ukanda wa Gaza yaliwafanya walowezi wa Kizayuni wakimbilie mapangoni mwao kutafuta hifadhi na kulazimika kufanya mapataano na kusitisha mapigano.
Habari ID: 3475611 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/12
Mapambano dhidi ya Wazayuni
TEHRAN (IQNA)- Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amejibu barua ya Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina na kusema, "mapambano (muqawama) ya kishujaa ya Jihad Islami yatapelekea kupanda hadhi ya harakati hii katika mapambano sambamba na kusambaratisha hadaa za utawala wa Kizayuni na kuufedhehesha utawala huo."
Habari ID: 3475609 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/11
Ukatili wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Siku tatu za mashambulizi mutawalia ya utawala haramu wa Israel huko Gaza yalisababisha vifo vya raia Wa palestina 45 wakiwemo watoto 15 na wanawake wanne huku wengine 360 wakijeruhiwa.
Habari ID: 3475596 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/08
Mapambano dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon wapigania ukombozi wa Palestina kwa kupata uthubutu na ujasiri wa kujibu jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3475594 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/08