iqna

IQNA

Kususia utawala wa Kizayuni wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Wa palestina wamempongeza mmoja wa wanamichezo shujaa wa Algeria ambaye amekataa kwenda kucheza mpira katika ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel ikiwa ni kuendeleza harakati ya kimataifa ya kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestinaa na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475552    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/29

Njama za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mfalme wa Bahrain amemfuta waziri mwanamke wa nchi hiyo kwa kukataa kumpa mkono balozi wa utawala haramu wa Israel mjini Manama na kwa kupinga hatua ya kuanzisha ya uhusiano wa kawaida na utawala huo haramu.
Habari ID: 3475534    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/24

Ubaguzi wa rangi Israel
TEHRAN (IQNA)- Wabunge katika Bunge la Kitaifa la Ufaransa wametia saini rasimu ya azimio la kulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na sera zake za ubaguzi wa rangi au apatahidi na jinai za kivita dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3475527    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/23

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mamia ya Wa palestina wamefanya maandamano katika eneo la kaskazini la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kupaza sauti zao za kupinga ziara ya Rais Joe Biden wa Marekani katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu yaliyopachikwa jina la Israe katika safari yake ya kwanza ya Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) kama rais wa Marekani.
Habari ID: 3475504    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/15

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kundi moja la kutetea haki za binadamu limeutaka Umoja wa Mataifa kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe sera za kutumia mabavu ambayo hupelekea idadi kubwa ya Wa palestina kupoteza maisha.
Habari ID: 3475503    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/14

Uzayuni na Marekani
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaja safari ya Rais Joe Biden wa Marekanii katika eneo la Asia Magharibi (Mashariaki ya Kati) kuwa ni kielelezo cha kivitendo cha uungaji mkono kamili wa Washington kwa Tel Aviv na imeonya kuhusu hatari ya safari hiyo kwa eneo hilo na mapambano ya Palestina.
Habari ID: 3475502    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/14

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia mwandamizi wa Umoja wa Ulaya ameelezea wasiwasi wake kuhusu uwezekano idadi kubwa ya Wa palestina kuhamishwa kwa nguvu kutoka eneo la mashambani katika Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475476    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/08

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Kanisa la Presbyterian nchini Marekani imepitisha azimio la kutangaza Israeli utawala wa ubaguzi au apathaidi.
Habari ID: 3475457    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/03

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu wa Palestina Hamas imepongeza ripoti ya Ofisi ya Masuala ya Haki za Binadamu (UNOCHA) ambayo ilionyesha kuhusu madhara ya mzingiro wa utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza..
Habari ID: 3475456    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/03

Jinai za Wazayuni
TEHRAN (IQNA)- Mabadiliko yoyote ambayo utawala haramu wa Israel unapanga kutekeleza katika hali ya miongo kadhaa iliyopita katika ukuta wa eneo lote Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) yanaweza kuzua vita vya kidini katika eneo hilo.
Habari ID: 3475451    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/02

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala katili wa Israel wamempiga risasi na kumuua kijana wa Ki palestina walipokuwa wakivamia sehemu ya kaskazini ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huku hali ya wasiwasi ikiongezeka katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo katika wiki za hivi karibuni.
Habari ID: 3475443    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/29

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa Israel wamemuua kijana wa Ki palestina wakati wa kukamatwa katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu
Habari ID: 3475423    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/25

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umesema uchunguzi umebaini kuwa , Shireen Abu Akleh, mwandishihabari M palestina wa televisheni ya al-Jazeera ya Qatar aliuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475420    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/24

Muqawama (Mapambano ya Kiislamu)
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
Habari ID: 3475418    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/24

Udhalimu wa Israel
TEHRAN (IQNA) - Nyumba za Wa palestina zilibomolewa na wanajeshi wa utawala dhalimu Israel huko Al-Quds (Jerusalem) na mji wa Ukingo wa Magharibi wa Ramallah siku ya Jumatano.
Habari ID: 3475412    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/22

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jumamosi, Juni 11, 2022 huko Manchester, NH, jimboni New Hampshire Marekani, Kongamano la New England la Makanisa ya Methodist ilipitisha kwa wingi azimio lenye kichwa “Kutambua na Kupinga Ubaguzi wa Rangi Katika Ardhi Takatifu.”
Habari ID: 3475392    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/18

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Ki palestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3475386    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/17

Mapambano dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA)- Waandishi wa habari wa Morocco wamepinga kufunguliwa nchini humo ofisi za televisheni ya utawala haramu wa Israel ya i24 na wametaka zifungwa mara moja.
Habari ID: 3475374    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/14

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Timu ya ngazi ya juu ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imesema hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Wa palestina na kuwafanyia Wa palestina vitendo vya kibaguzi ndio sababu kuu ya kushuhudiwa mawimbi ya ghasia zisizokwisha katika ardhi hizo zilizoghusubiwa.
Habari ID: 3475354    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/09

Palestina na Al Aqsa
TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimelaani vikali hujuma za hivi karibu za walowezi Waisraeli dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Israel.
Habari ID: 3475322    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/01