Utawala haramu wa Israel umeamuru kubomolewa milki tatu zaidi za Wa palestina , ukiwemo msikiti mmoja ulioko Quds Mashariki.
Habari ID: 3351059 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/24
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuhusu udharura wa umoja baina ya Waislamu ili kukabiliana na njama hatari za utawala haramu wa Israel za kuubomoa Msikiti wa Al Aqsa katika Mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3349556 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/21
Kutokana na pendekezo lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa ajili ya kuenzi Msikiti wa kihistoria wa al Aqsa, tarehe 21 Agosti imetangazwa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Msikiti.
Habari ID: 3349544 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/21
Waislamu wasiopungua 108,000 walipoteza maisha kutokana na maafa na vita katika nchi za Kiislamu na nchi ambazo Waislamu ni wachache kote duniani mwaka 2014.
Habari ID: 3345845 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullahil Udhma Khamenei Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inazinyooshea mkono wa urafiki serikali zote za Kiislamu za eneo na wala haina tatizo lolote na serikali za Kiislamu.
Habari ID: 3345403 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18
Katibu Mkuu wa Baraza la Kiislamu na Kikristo la Kutetea Quds Tukufu amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo cha machafuko na ghasia katika eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3342896 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/14
Baba ya mtoto M palestina wa miezi 18 aliyeuwawa hivi karibuni na masetla Waisraeli wenye misimamo mikali amefariki dunia kutokana na majeraha ya moto aliyopata katika tukio hilo.
Habari ID: 3340027 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/08
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Quds na Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3339755 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07
Machafuko yameibuka leo Jumapili katika Msikiti wa Al Aqsa, eneo la tatu kwa utakatifu katika Uislamu, mjini Quds (Jerusalem) siku mbili tu baada ya mtoto mchanga M palestina kuchomwa moto na kuuawa na walowezi wa Kiyahudi.
Habari ID: 3338073 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/02
Kitendo cha kinyama cha Wazayuni wa Israel cha kumchoma moto hadi kufa mtoto mchanga wa Palestina mwenye umri wa miezi 18 kimeendelea kulaaniwa kote duniani.
Habari ID: 3337635 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/01
Sayyid Hassan Nasrallah
Sayyid Hassan Nasrallah Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuutisha uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel ni kati ya mafanikio makubywa ya harakati hiyo.
Habari ID: 3336437 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/28
Vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeuvamia Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu. Kufuatia hujuma hiyo ya mapema Jumapili asubuhi, kumeibuka mapigano baina ya polisi ya Israel na Waislamu waliokuwa ndani ya msikiti huo mtakatifu.
Habari ID: 3335481 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/26
Baraza la Kizayuni la mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu limepitisha mpango wa kuyavunjia heshima na kuyabomoa makaburi ya Waislamu katika mji huo.
Habari ID: 3328606 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/15
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema Iran ndio nchi pekee inayounga mkono ukombozi wa ardhi zote za Palestina na Quds Tukufu.
Habari ID: 3326617 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11
Ali Larijani
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, Ali Larijani amesema lengo kuu la nchi za Magharibi ni kuangamiza Uislamu na njama hiyo ilianzishwa Palestina.
Habari ID: 3326323 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11
Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Iran mwaka huu yamekuwa makubwa na mapana zaidi kuliko miaka iliyopita.
Habari ID: 3326322 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11
Moja ya mafanikio makubwa ya Mapinduzi ya Kiislamu ni kuifanya kadhia ya Palestina kuwa kadhia nambari moja katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3325960 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/09
Taasisi ya Dar-ul-Qur’an na Sunnah katika Ukanda wa Ghaza imewaenzi wakaazi 1000 wa eneo hilo walio hifadhi Qur’ani kikamilifu.
Habari ID: 3325720 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/07
Jumuiya ya Waislamu wa Kishia Tanzania, AfroShia Muslim Community, inapanga maandamano ya amani kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds kwa lengo la kulaani jinai dhidi ya Wa palestina na pia kuunga mkono jitihada za amani duniani.
Habari ID: 3322431 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/03
Ayatullah Muhsin Araki
Waislamu duniani wametakiwa wasisahau kadhia ya kupigania ukombozi wa Palestina katika kipindi hiki ambapo wengi wanajishughulisha na tatizo sugu la ugaidi na jinai zinazotekelezwa na kundi la kigaidi na kitakifiri la Daesh au ISIS.
Habari ID: 3322212 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/01