Siku ya Quds
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema siku ya Quds mwaka huu itakuwa uasi wa kimataifa dhidi ya utawala ghasibu wa Israel na kuongeza kuwa: "Utawala wa Kizayuni wa Israel utazabwa kibao usoni kutokana na shambulio lake dhidi ya majengo ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, mapema wiki hii."
Habari ID: 3478630 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/04
Kadhia ya Palestina
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu ni tofauti na miaka iliyopita, na kwamba operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imemweka adui Mzayuni kwenye ukingo wa shimo la mauti.
Habari ID: 3478629 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/04
Siku ya Quds
IQNA - Katibu Mkuu wa Hizbullah Sayyed Hasan Nasrallah ametoa wito kwa watu kujitokeza kwa wingi barabarani Ijumaa ijayo ambayo inaadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Quds.
Habari ID: 3478605 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/30
Waislamu na kadhia ya Gaza
IQNA - Katika Amerika ya Kusini, jamii za Waislamu zinaadhimisha Ramadhani mwaka huu bila mazingira ya sherehe ambayo ni ya kawaida wakati wa mlo wa futari kutokana na mateso huko Gaza, ambapo zaidi ya Wa palestina 32,500 wameuawa tangu utawala wa Israel uanzishe vita eneo hilo Oktoba 7.
Habari ID: 3478603 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/30
Kadhia ya Palestina
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema vikosi vya mapambano ya Kiislamu ya wapigania ukombozi au Muqawama na Wa palestina wote katika Ukanda wa Gaza ndio washindi kwenye medani ya vita na utawala wa Kizayuni wa Israel ni mwangamizaji wa kizazi na akasisitiza kwa kusema: kilele cha kuheshimika na kusimama imara watu wa Gaza na Palestina na kushindwa utawala wa Kizayuni katika vita hivyo vya miezi sita ni tukio na jambo lenye rehma za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3478598 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29
Kadhia ya Palestina
IQNA - Wakati utawala haramu wa Israel umeweka vikwazo vya kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa katika mji mtakatifu wa al-Quds, zaidi ya waumini 100,000 wa Ki palestina walishiriki katika Swala maalum ya mwezi wa Ramadhani kwenye msikiti huo siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3478560 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/23
IQNA- Katika harakati inayoashiria istiqama, Wa palestina katika Ukanda wa Gaza siku ya Ijumaa walishiriki katika sala ya kwanza ya Ijumaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Machi 15 katika eneo lenye mabaki ya Msikiti wa Rafah ambalo ulibomolewa hivi karibuni katika hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478527 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17
Wapalestina katika Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Rais wa Jumuiya ya Wahubiri wa Kiislamu Palestina ametoa wito kwa Waislamu wote wanaofunga mwezi mtukufu wa Ramadhani waombe dua kwa ajili kukomeshwa mateso na masaibu wanayokumbana nao watu wa Gaza.
Habari ID: 3478495 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/12
Watetezi wa Palestina
IQNA - Wnawake wanaharakati wanaounga mkono Palestina wameandamana katike eneo la Freedom Plaza katika mji mkuu wa Marekani, Washington, DC, kutangaza mshikamano na wanawake wa Ki palestina wanaoteseka huko Gaza, huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiendeleza mauaji ya kimbari katika eneo hilo.
Habari ID: 3478472 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/09
Hali ya Palestina
IQNA - Mashambulio yasiyokoma ya utawala katili wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza uliozingirwa yamewanyima Waislamu duniani furaha ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478469 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08
Jinai za Israel
IQNA - Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake hii leo, ofisi ya vyombo vya habari vya serikali huko Gaza imeomboleza wanawake 8,900 wa Ki palestina waliouawa tangu Oktoba wakati utawala katili wa Israel ulipoanza mauaji ya kimbari dhidi ya Wa palestina katika eneo hilo.
Habari ID: 3478468 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08
Kadhia ya Palestina
IQNA - Utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina umetangaza siku ya Jumanne kwamba utawaruhusu waumini kuingia katika Msikiti wa al-Aqsa katika eneo la Quds (Jerusalem) katika wiki ya kwanza ya mwezi wa Ramadhani, na hivyo kutupilia mbali mpango wa awali wa kuweka vizuizi.
Habari ID: 3478461 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06
Kadhia ya Palestina
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepanda mzeituni katika hatua ambayo ameitaja kuwa ni mshikamano na wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
Habari ID: 3478453 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05
Kadhia ya Palestina
IQNA - Makundi kadhaa ya wapigania ukombozi wa Palestina yametoa wito kwa watetezi wa haki kote ulimwenguni kujiunga na kampeni ya kimataifa iliyopewa jina la "Kimbunga cha Ramadhani.
Habari ID: 3478449 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04
Jinai za Israel
IQNA-Viongozi wa dunia wameendelea kulaani kitendo cha wanajeshi wa Israel kuwaua Wa palestina 116 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 760 waliokuwa wakisubiri msaada wa chakula katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478438 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/02
Jinai za Israel
IQNA - Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa kinapanga kuandaa kongamano la kimataifa la "Miaka 75 ya kukaliwa kwa mabavu Palestina".
Habari ID: 3478437 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/01
Uchaguzi wa Iran
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema: Maadui wa Iran ya Kiislamu wana hofu ya kushiriki kwa wingi kwa wananchi katika uchaguzi hapa nchini.
Habari ID: 3478428 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28
Watetezi wa Palestina
IQNA-Waziri Kiongozi wa Scotland Humza Yousaf ameitaka Serikali ya Uingereza kusitisha uuzaji wa silaha kwa utawala wa Israel kutokana na utawala huo wa Kizayuni kuendeleza mauaji ya kimbari ya raia Wa palestina katika Ukanda Gaza.
Habari ID: 3478417 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26
Jinai za Israel
IQNA-Mkuu wa Kitengo cha Asia Magharibi katika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema: Idadi ya raia na waandishi wa habari waliouawa huko Gaza haina mfano.
Habari ID: 3478363 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16
Harakati za Qur'ani
IQNA - Makumi ya watoto huko Rafah, kusini mwa Gaza, ambao wamehitimu katika mafunzo ya
Habari ID: 3478360 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16