Kadhia ya Palestina
IQNA - Washiriki katika mkutano wa kimataifa huko Karbala, Iraq wamesisitiza haja ya mshikamano na watu wa Palestina na kususia utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3479278 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/14
Watetezi wa Palestina
IQNA - Kundi la kutetea haki za Waislamu Marekani limetangaza kesi dhidi ya serikali ya shirikisho kwa kuwaweka Wa palestina -Wamarekani wawili kwenye orodha ya siri ya kufuatiliwa kutokana na msimamo wao wa kuwaunga mkono Wa palestina wanaoteswa na Israel huko Gaza.
Habari ID: 3479272 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/13
Jinai Israel
IQNA - Jeshi la Israel lilifanya mashambulizi ya anga dhidi ya shule moja katikati mwa Mji wa Gaza wakati Wa palestina waliokimbia makazi yao walipokuwa wakiswali alfajiri, na kuua takriban watu 100.
Habari ID: 3479256 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10
Kadhia ya Palestina
IQNA-Nasser Kan'ani, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran, ametoa wito kwa serikali za Kiislamu kuunga mkono haki za Wa palestina kwa ufanisi zaidi.
Habari ID: 3479233 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/05
Kadhia ya Palestina
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza ushujaa wa wananchi wanaodhulumiwa na wenye nguvu wa Ghaza na kusema: Leo bendera ya juu kabisa ya Uislamu iko mikononi mwa watu wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479202 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/30
Kadhia ya Israel
IQNA - Wa palestina na nchi za Kiislamu hazina budi ila kuonyesha upinzani dhidi ya uhalifu na uvamizi wa Israel, anasema mchambuzi wa kisiasa wa Palestina.
Habari ID: 3479176 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/23
Kadhia ya Palestina
IQNA-Harakati ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, yenye makao yake huko Gaza imesema imetia saini makubaliano mjini Beijing na makundi mengine ya Palestina, ikiwa ni pamoja na Fat'h, kufanya kazi pamoja kwa ajili ya "umoja wa kitaifa."
Habari ID: 3479173 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/23
Kadhia ya Palestina
Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imetangaza kwamba kuendelea kuwepo kwa utawala wa Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni kinyume cha sheria na kunapaswa kukomeshwa "haraka iwezekanavyo."
Habari ID: 3479152 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/20
Utawala wa Kizayuni
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ametoa aya za Qur'ani Tukufu na kusisitiza kwamba mwisho wa utawala mbovu wa Israel utakuja mapema zaidi kuliko baadaye.
Habari ID: 3479139 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/17
Kadhia ya Palestina
Vikosi vya utawala katili wa Kizayuni wa Israel vimefanya mashambulizi ya kikatili dhidi ya kambi ya wakimbizi ya al-Mawasi karibu na mji wa Khan Younis, kusini mwa Gaza na kuua Wa palestina wasiopungua 90.
Habari ID: 3479120 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14
Kadhia ya Palestina
Anwar El Ghazi ameshinda kesi dhidi ya klabu ya Ujerumani ya Bundesliga Mainz 05, ambayo ilikatisha kandarasi yake kwa kuunga mkono Palestina, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Ujerumani.
Habari ID: 3479119 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14
Kuiunga Mkono Palestina
Zaidi ya watu milioni moja walishiriki katika maandamano huko Sanaa, mji mkuu wa Yemen, siku ya Ijumaa ili kuthibitisha mshikamano wao na watu wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479118 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/13
Kadhia ya Palestina
Takriban miili 60 imegunduliwa katika kitongoji cha Tal al-Hawa kusini mwa Mji wa Ukanda wa Gaza kufuatia kuondolewa kwa wanajeshi wa utawala huo katili wa Israel katika eneo hilo.
Habari ID: 3479114 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/13
Kadhia ya Palestina
Njaa imetanda katika Ukanda wa Gaza baada ya zaidi ya miezi tisa ya vita vya mauaji ya halaiki ya Israel kwenye eneo la pwani ya Palestina, kundi la wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa wanaonya.
Habari ID: 3479106 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/11
IQNA - Mpango wa kibinadamu kwa Palestina na Ukanda wa Gaza kwa ajiri ya kuwaunga mkono Wa palestina ulizinduliwa nchini Malaysia siku ya Jumatano.
Habari ID: 3479072 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/05
Kadhia ya Palestina
Wanaharakati wa kitamaduni na wasanii wa nchi za Magharibi wamekabiliwa na matatizo baada ya kueleza mshikamano wao na Gaza na kuchukua misimamo dhidi ya vita vya mauaji ya kimbari ya Israel.
Habari ID: 3479065 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/04
Chama tawala Australia
Chama cha Labour cha Australia kimemsimamisha Seneta Fatima Payman kushiriki katika mikutano yake ya kundi la Seneti kwa muda usiojulikana baada ya kuunga mkono hoja ya Chama cha Kijani cha kuitambua Palestina kama taifa huru.
Habari ID: 3479056 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/03
Muungano wa makundi ya Waislamu wa Marekani ulisisitiza kuwa Joe Biden na Donald Trump ni "wagombea walio na dosari mbaya," wakibainisha kwamba utawala ujao unapaswa kuweka "utakaso wa kikabila wa Wa palestina " kama mstari wake mwekundu.
Habari ID: 3479047 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01
Kadhia ya Palestina
Mkurugenzi wa Hospitali ya Al-Shifa ya Gaza, Dk. Muhammad Abu Salmiya, aliachiliwa kutoka kizuizini cha Israeli siku ya Jumatatu baada ya kipindi cha miezi saba.
Habari ID: 3479045 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01
Kadhia ya Palestina
Shirika la Euro-Mediterranean Human Rights Monitor limepokea ripoti kwamba vikosi vya utawala katili wa Israel vinahusika katika "mauaji yaliyoenea" katika vitongoji vya Shujayea na Jdaida katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479034 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30