IQNA - Mpango wa kibinadamu kwa Palestina na Ukanda wa Gaza kwa ajiri ya kuwaunga mkono Wa palestina ulizinduliwa nchini Malaysia siku ya Jumatano.
Habari ID: 3479072 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/05
Kadhia ya Palestina
Wanaharakati wa kitamaduni na wasanii wa nchi za Magharibi wamekabiliwa na matatizo baada ya kueleza mshikamano wao na Gaza na kuchukua misimamo dhidi ya vita vya mauaji ya kimbari ya Israel.
Habari ID: 3479065 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/04
Chama tawala Australia
Chama cha Labour cha Australia kimemsimamisha Seneta Fatima Payman kushiriki katika mikutano yake ya kundi la Seneti kwa muda usiojulikana baada ya kuunga mkono hoja ya Chama cha Kijani cha kuitambua Palestina kama taifa huru.
Habari ID: 3479056 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/03
Muungano wa makundi ya Waislamu wa Marekani ulisisitiza kuwa Joe Biden na Donald Trump ni "wagombea walio na dosari mbaya," wakibainisha kwamba utawala ujao unapaswa kuweka "utakaso wa kikabila wa Wa palestina " kama mstari wake mwekundu.
Habari ID: 3479047 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01
Kadhia ya Palestina
Mkurugenzi wa Hospitali ya Al-Shifa ya Gaza, Dk. Muhammad Abu Salmiya, aliachiliwa kutoka kizuizini cha Israeli siku ya Jumatatu baada ya kipindi cha miezi saba.
Habari ID: 3479045 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01
Kadhia ya Palestina
Shirika la Euro-Mediterranean Human Rights Monitor limepokea ripoti kwamba vikosi vya utawala katili wa Israel vinahusika katika "mauaji yaliyoenea" katika vitongoji vya Shujayea na Jdaida katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479034 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30
Kadhia ya Palestina
Vikosi vya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas vimelipua vifaru vya jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza kwa kutumia mabomu yaliyotekwa kutoka wanajeshi wa Israel.
Habari ID: 3479028 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/29
Katibu wa mkutano wa kimataifa kuhusu "Miaka 75 ya Uvamizi huko Palestina" alisema karatasi 300 za lugha 6 zimewasilishwa kwenye mkutano huo.
Habari ID: 3479027 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/29
Kadhia ya Palestina
Mama Muislamu na watoto wake walikua wahasiriwa wa madai ya jaribio la mauaji katika kidimbwi cha kuogelea cha ghorofa huko Euless, Texas.
Habari ID: 3478999 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/22
Kadhia ya Palestina
IQNA-Marekani na utawala wa Kizayuni zinatekeleza sera ya njaa katika Ukanda wa Gaza ili kuhakikisha Wa palestina wa eneo hilo wanaagamia kutokana na ukosefu wa chakul, maafisa katika eneo hilo la Palestina walisema.
Habari ID: 3478990 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/20
Kadhia ya Palestina
IQNA-Makumi ya maelfu ya Wa palestina wameshiriki katika Swala ya Iddul Adh'ha iliyosaliwa leo kwenye Msikiti wa al-Aqsa mjini Baitul Muqaddas, licha ya kuwekewa vizuizi na kukabiliwa na hatua kali za kiusalama zilizochukuliwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mji huo unaoukalia kwa mabavu.
Habari ID: 3478971 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/16
Kadhia ya Palestina
IQNA - Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalipata ushindi mwaka 1979 yalikuwa ni utangulizi wa mwamko wa Wa palestina , amesema mwanazuoni wa Lebanon.
Habari ID: 3478955 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/09
Nasaha
IQNA-Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amewaandikia barua wanachuo wa vyuo vikuu vya Marekani ambao wamekuwa katika mstari wa mbele kutetea wa kijasiri maslahi ya watu wa Palestina.
Hii hapa ni matini ya barua hiyo ya kihistoria.
Habari ID: 3478914 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/01
Watetezi wa Palestina
IQNA - Wakati wa warsha iliyofanyika katika maonyesho ya sanaa yanayoendelea Tehran idadi kubwa ya waandishi wa kaligrafia wameandika Surah Al-Fil ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478841 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/18
Ukombozi wa Palestina
IQNA-Ismail Haniyah, Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema bila shaka utawala wa Kizayuni wa Israel hatimaye utaondolewa katika maeneo yote ya Wa palestina .
Habari ID: 3478831 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16
Palestina
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema adui leo anataka kuongoza maoni ya umma ya mataifa juu ya suala la Gaza, kwa himaya ya vyombo vya habari, habari za uongo, simulizi zisizo za kweli, na upotoshaji wa ukweli, akisisitiza umuhimu wa nafasi na wajibu wa waandishi na wana utamaduni katika kukabiliana na njama hii.
Habari ID: 3478830 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16
Watetezi wa Palestina
IQNA - Kongamano lililopewa jina la "Muqawama (Mapambano) na Vyombo vya Habari vya Wa palestina " limefanyika katika Taasisi ya Ittila'at mjini Tehran ambapo wazungumzaji walisisitiza nafasi ya vyombo vya habari katika kuangazia jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3478806 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/12
Kadhia ya Palestina
IQNA-Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa -UNGA limepitisha azimio la kuongezea taifa la Palestina haki ndani ya Baraza hilo, sawa na nchi nyingine 193 wanachama. Pamoja na hayo Palestina bado haitakuwa na haki ya kupiga kura ndani ya chombo hicho cha ngazi ya juu cha maamuzi cha Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3478803 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/11
Harakati
IQNA - Vuguvugu la wanafunzi lililoanza katika vyuo vikuu vya Marekani na kuenea katika mataifa mengine linaahidi mfumo wa dunia wenye haki na haki, mwanadiplomasia wa Tunisia alisema.
Habari ID: 3478790 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/08
Jinai za Israel
IQNA-Afisa wa Umoja wa Mataifa anasema uharibifu uliosababishwa na vita vya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza haujawahi kuonekana tangu Vita vya Pili vya Dunia, huku akikadiria kuwa ujenzi mpya wa eneo hilo la Palestina unaweza kuchukua miaka 80 na kugharimu hadi dola bilioni 40.
Habari ID: 3478771 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/04