Watetezi wa Palestina
IQNA - Watu katika mji mkuu wa Uingereza wa London walifanya maandamano siku ya Jumamosi, wakitaka kusitishwa kwa vita vya mauaji ya halaiki vya utawala wa Israel dhidi ya Gaza. Zaidi ya watu 30,000 walishiriki katika maandamano ya kupaza sauti ya mshikamano na wa palestina wanaodhulumiwa katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479619 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/20
Kususia Israel
IQNA - Mtaalamu wa masuala ya kiuchumi amesema kuususia kiuchumi utawala wa Kizayuni wa Israel kunaweza kuwa mkakati "mwenye ufanisi zaidi" wa kukabiliana na utawala huo kwa muda mrefu.
Habari ID: 3479572 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/11
Watetezi wa Palestina
IQNA - Wataalamu na wasomii walioshiriki katika mkutano wa kimataifa wa haki za binadamu mjini Tehran wameikosoa nchi za Magharibi kwa undumilakuwili na unafiki kuhusu suala la Palestina.
Habari ID: 3479571 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/10
Jini za Israel
IQNA-Serikali ya Iraq imelaani vikali njama ya utawala haramu wa Israel ya kutaka kumuua kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini humo Ayatullah Sayyid Ali Sistani.
Habari ID: 3479567 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/09
Watetezi
IQNA-Rais wa zamani wa Ireland amekosoa jibu la jamii ya kimataifa kwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479539 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/05
Siasa
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, chimbuko la matatizo ya eneo la Asia Magharibi ni mataifa kama Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zinazodai kwa uwongo kwamba, zinataka amani na utulivu.
Habari ID: 3479525 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Kiongozi Muadhamu
IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na wanaharakati wa Vita vya Kujihami Kutakatifu na Muqawama na kusisitiza kuwa, kambi ya Muqawama ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndiye mshindi katika Jihadi kwa njia ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479490 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/26
Watetezi wa Palestina
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman, aliyekosolewa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kutokana na uungaji mkono wake kwa Palestina, amepata uungwaji mkono na mshikamano kutoka kwa wengine wengi.
Habari ID: 3479485 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/25
Watetezi wa Haki
IQNA -Maandamano yamefanyika nchini Kanada kulaani vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479481 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/24
Jinai za Israel
IQNA-Rais Gustavo Petro wa Colombia amelaani kimya kinachoonyeshwa kwa vita vya kinyama vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza, na kusisitiza kwamba mauaji ya kimbari yanafanyika huko Palestina.
Habari ID: 3479474 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/23
IQNA - Kongamano la 38 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu lilimalizika Jumamosi huku washiriki wakisisitiza umoja katika taarifa yao ya mwisho kama suluhu pekee la kusitisha ukatili wa Israel.
Habari ID: 3479470 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/22
Maulidi
IQNA – Hafla maalumu ya kusoma Qur'ani ilifanyika mjini Al-Khalil katika Masjid Ibrahimi kwa mnasaba wa Milad-un-Nabi au Maulidi ambayo ni maadhimisho ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3479444 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/16
Muqawama
IQNA – Wananchi wa Palestina katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem)wamehimizwa na makundi mbalimbali kuzuru Msikiti wa Al-Aqsa kwa wingi katika mnasaba wa Milad –un-Nabi
Habari ID: 3479443 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/16
Waungaji mkono Palestina
IQNA - Harakati mashuhuri ya Yemen ya Ansarullah imesambaza video na picha za sherehe za Maulid ya Mtume Mtukufu (SAW) zilizofanyika kwenye sitaha ya meli ya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3479439 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/15
Wiki ya Umoja
IQNA- Toleo la 38 la Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu litaanza katika mji mkuu wa Iran siku ya Alhamisi, wakati wa Wiki ya Kimataifa ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3479435 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/14
Umoja wa Kiislamu
IQNA: Tukio hilo lililopewa jina la "Katika Mapenzi ya Mtume," lilifanyika usiku wa kuamkia Ijumaa katika Uwanja wa Mtume Muhammad (SAW) ulio katika Haram ya Imam Ridha (AS) kuashiria kuanza kwa Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3479425 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/13
Jinai za Israel
IQNA - Apple, YouTube na majukwaa mengine ya vyombo vya habari yamehimizwa na kikundi cha kutetea Waislamu cha Marekani kufuta podikasti ya kila wiki ya Wazayuni Waisraeli ya lugha ya Kiingereza ambayo husifu mauaji ya kimbari ya Wa palestina huko Gaza.
Habari ID: 3479385 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/05
Watetezi wa Palestina
IQNA - Takriban watu milioni moja walikusanyika katika mji mkuu wa Yemen wa Sana'a siku ya Ijumaa ili kuelezea mshikamano wao na Wa palestina huko Gaza na pia kulaani jinai ya wanajeshi wa Israel ya kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479356 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/31
IQNA-Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inaunga mkono makubaliano yoyote ambayo yanakubaliwa na Wa palestina na muqawama.
Habari ID: 3479348 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/29
Harakati za Qur'ani
IQNA – Kikao cha kuhitimisha Qur’ani kimefanyika huko Nablus, Ukingo wa Magharibi Palestina, wikendi hii iliyopita.
Habari ID: 3479342 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/28