iqna

IQNA

Jinai za Israel
IQNA - Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa kinapanga kuandaa kongamano la kimataifa la "Miaka 75 ya kukaliwa kwa mabavu Palestina".
Habari ID: 3478437    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/01

Uchaguzi wa Iran
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema: Maadui wa Iran ya Kiislamu wana hofu ya kushiriki kwa wingi kwa wananchi katika uchaguzi hapa nchini.
Habari ID: 3478428    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28

Watetezi wa Palestina
IQNA-Waziri Kiongozi wa Scotland Humza Yousaf ameitaka Serikali ya Uingereza kusitisha uuzaji wa silaha kwa utawala wa Israel kutokana na utawala huo wa Kizayuni kuendeleza mauaji ya kimbari ya raia Wa palestina katika Ukanda Gaza.
Habari ID: 3478417    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26

Jinai za Israel
IQNA-Mkuu wa Kitengo cha Asia Magharibi katika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema: Idadi ya raia na waandishi wa habari waliouawa huko Gaza haina mfano.
Habari ID: 3478363    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16

Harakati za Qur'ani
IQNA - Makumi ya watoto huko Rafah, kusini mwa Gaza, ambao wamehitimu katika mafunzo ya
Habari ID: 3478360    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16

Watetezi wa Palestina
IQNA - Hatua za kivita za utawala wa Israel huko Rafah "zinathibitisha" usahihi wa kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya utawala huo katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema.
Habari ID: 3478356    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15

Watetezi wa Palestina
IQNA-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah kusini mwa Gaza, na kuonya kuhusu maafa ya binadamu katika eneo hilo.
Habari ID: 3478350    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Jinai za Israel
IQNA-Utawala katili wa Israel umeendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wa palestina katika Ukanda wa Gaza kwa kutekeleza mashambulizi makubwa ya anga na mizinga katika mji wa Rafah kusini mwa ukanda huo na kuua na kujeruhi mamia ya raia wengi wao wakiwa wanawake na watoto.
Habari ID: 3478339    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/12

Jinai za Israel
IQNA - Msichana wa Ki palestina mwenye umri wa miaka sita, ambaye alikuwa ametoweka kwa wiki mbili baada ya gari la familia yake kufyatuliwa risasi na wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel, alipatikana amekufa.
Habari ID: 3478327    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10

Jinai za Israel
IQNA-Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Ki palestina (UNRWA) limeonya kwamba mashambulizi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya mji wa mpakani wa Rafah wenye msongamano mkubwa wa watu Gaza yatakuwa "kichocheo cha maafa."
Habari ID: 3478326    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mashabiki wa soka wanamtaja Mousa Mohammad Mousa Sulaiman Al-Tamari kama "Messi wa Jordan".
Habari ID: 3478318    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

Watetezi wa Palestina
IQNA - Maandamano yalifanyika mjini Brussels siku ya Jumatatu kupinga jinai ya Israel dhidi ya Wa palestina katika Ukanda wa Gaza ikiwa ni pamoja na mauaji ya waandishi wa habari.
Habari ID: 3478311    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/06

Ulimwengu wa Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, anasema wasomi wa Ulimwengu wa Kiislamu wanabeba dhima nzito kuhusiana na matukio yanayojiri huko Gaza na kwamba wanapaswa kuanzisha matakwa ya umma ya kukata uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478310    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05

Waislamu Marekani
IQNA - Polisi wameimarisha doria katika nyumba za ibada na "vituo vikuu vya miundombinu" huko Dearborn, jimbo la Michigan nchini Marekani.
Habari ID: 3478304    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/04

Watetezi wa Palestina
IQNA - Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amepongeza uungaji mkono wa Iran kwa harakati za muqawama au mapambano ya Kiislamu na kusema uungaji mkono huo unafanyika bila ya kutarajia chochote mkabala wa uungaji mkono huo.
Habari ID: 3478295    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03

Jinai za Israel
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa WHO, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema katika chapisho la ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X jana Jumapili kwamba kukata ufadhili kwa UNRWA "kutawaumiza tu watu wa Gaza".
Habari ID: 3478278    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/30

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mufti Mkuu wa Tajikistan amesisitiza ulazima wa kuwepo umoja katika ulimwengu wa Kiislamu ili kuiokoa Palestina kutokana na ukandamizaji na kukaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3478277    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/30

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mamia ya watu walikusanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Maine siku ya Jumapili kuwaandikia barua wawakilishi wao, wakiwataka kuunga mkono takwa la kuutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usitisha vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wa palestina wa Gaza. Wa palestina wasiopungua 26,000 wameuawa shahidi tangua utawala wa Israel uanzishe vita dhidi ya Gaza Oktoba mwaka jana.
Habari ID: 3478273    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29

Wanajihadi
IQNA - Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utapanua mashambulizi yake dhidi ya Lebanon, utapata jibu kali na la sawasaw kutoka kwa harakati hiyo.
Habari ID: 3478261    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/27

Kadhia ya Palestina
IQNA-Afrika Kusini imesema inatazamia hukumu ya awali ya kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wa palestina katika Ukanda wa Gaza itatolewa Ijumaa.
Habari ID: 3478251    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/25