iqna

IQNA

Kadhia ya Palestina
IQNA - Mufti Mkuu wa Misri amesisitiza wajibu wa Waislamu kuhusu suala la Palestina.
Habari ID: 3479831    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/01

Kadhia ya Palestina
IQNA--Kwa mwaka wa pili mfululizo Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Wananchi wa Palestina imeadhimishwa huku Gaza ikiendelea kuwa chini ya hujuma kubwa ya mashambulizi ya utawala wa Kizayuni sambamba na kuenezwa propaganda na taarifa ghushi za utawala huo
Habari ID: 3479829    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/30

IQNA - Kuna mashirika mengi ya kutoa misaada ya Kiislamu nchini Marekani yanayojaribu kupeleka misaada Wa palestina wa Ukanda wa Gaza wanaokumbwa na vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na Israel, lakini wanakabiliwa na vikwazo na ubaguzi mbalimbali.
Habari ID: 3479828    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/30

Watetezi wa Palestina
IQNA-Washiriki wa kikao cha viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kilichofanyika mjini Riyadh, Saudi Arabia wamesisitiza umuhimu wa kuzingatiwa suala la Palestina kama kadhia kuu na kuwaunga mkono kwa dhati wananchi wa taifa hilo ili wapate haki zao za kitaifa na zenye uhalali.
Habari ID: 3479743    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/12

Diplomasia
IQNA - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema utawala wa Marekani unaomaliza muda wake unatarajiwa kutumia muda uliobakia madarakani kukomesha hujuma za Israel huko Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479738    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/11

Kadhia ya Palestina
IQNA - Chuo Kikuu cha Hashemite cha Jordan kimeshutumiwa kwa kuwakandamiza wanafunzi wanaoiunga mkono Palestina.
Habari ID: 3479720    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08

Watetezi wa Palestina
IQNA-Mechi kati ya Paris Saint-Germain na Atletico Madrid katika Ligi ya Soka ya Mabingwa wa Ulaya- UEFA- ilikuwa uwanja wa harakati za kuunga mkono Palestina Jumatano usiku.
Habari ID: 3479713    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/07

Siasa
IQNA - Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu la Iran ameilaani Marekani kwa kutoa uungaji mkono wa kila namna kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika hujuma zake za mauaji ya kimbari dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3479706    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05

Jinai za Israel
IQNA-Marja' wa ngazi ya juu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq ameeleza masikitiko yake kuhusu kushindwa jamii ya kimataifa na taasisi husika katika kuzuia jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina na Lebanon.
Habari ID: 3479703    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05

Waungaji Mkono Palestina
IQNA - Maonyesho ya picha zinazoonyesha jinai za utawala haramu wa Israeli dhidi ya Palestina yamefanyika Harare, mji mkuu wa Zimbabwe.
Habari ID: 3479694    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/03

IQNA - Kundi la kutetea haki za Waislamu Marekani limemkosoa Rais wa Marekani Joe Biden "kushiriki kikamilifu katikaa uhalifu wa (Israeli) dhidi ya ubinadamu".
Habari ID: 3479692    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/03

IQNA – Tukio la kisanii lilifanyika tarehe 31 Oktoba 2024, kwenye Haram ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, likiangazia mapambano ya Wa palestina dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unazikoloni ardhi za Palestina.
Habari ID: 3479683    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/01

Wanawake na Qur'ani
IQNA - Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, anasema heshima na imani ya wanawake huko Gaza "inang'aa kama dhahabu safi" wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea mauaji ya kimbari na uharibifu katika eneo hilo lililozingirwa.
Habari ID: 3479673    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/30

Muqawama
IQNA - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Wa palestina wa Gaza umefichua unafiki wao na nukata hiyo inaashiria kushindwa kukubwa kwao.
Habari ID: 3479638    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23

Chuki dhidi ya Waislamu
IQNA - Shambulio dhidi ya mwanamke aliyevaa keffiyeh (skafu ya kichwa ya Wa palestina ) huko Brooklyn limelaaniwa huku kukitolewa wito wa mashtaka ya uhalifu wa chuki kwa wausika.
Habari ID: 3479620    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/20

Watetezi wa Palestina
IQNA - Watu katika mji mkuu wa Uingereza wa London walifanya maandamano siku ya Jumamosi, wakitaka kusitishwa kwa vita vya mauaji ya halaiki vya utawala wa Israel dhidi ya Gaza. Zaidi ya watu 30,000 walishiriki katika maandamano ya kupaza sauti ya mshikamano na wa palestina wanaodhulumiwa katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479619    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/20

Kususia Israel
IQNA - Mtaalamu wa masuala ya kiuchumi amesema kuususia kiuchumi  utawala wa Kizayuni wa Israel kunaweza kuwa mkakati "mwenye ufanisi zaidi" wa kukabiliana na utawala huo kwa muda mrefu.  
Habari ID: 3479572    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/11

Watetezi wa Palestina
IQNA - Wataalamu na wasomii walioshiriki katika mkutano wa kimataifa wa haki za binadamu mjini Tehran wameikosoa nchi za Magharibi kwa undumilakuwili na unafiki kuhusu suala la Palestina.
Habari ID: 3479571    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/10

Jini za Israel
IQNA-Serikali ya Iraq imelaani vikali njama ya utawala haramu wa Israel ya kutaka kumuua kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini humo Ayatullah Sayyid Ali Sistani.
Habari ID: 3479567    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/09

Watetezi
IQNA-Rais wa zamani wa Ireland amekosoa jibu la jamii ya kimataifa kwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479539    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/05