TEHRAN (IQNA)-Zakir Naik, mhubiri wa Kiwahhabi mwenye utata amepokonywa pasi yake ya kusafiria na serikali ya India.
Habari ID: 3471075 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/19
TEHRAN (IQNA)-Tamasha la Chakula Halal mjini Toronto, Canada, ni tamasha kubwa zaidi la chakula Halal eneo la Amerika Kaskazini na mwaka huu limewavutia Waislamu wengi waliojivunia mafanikio yao katika jamii.
Habari ID: 3471073 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/18
TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameushambulia na kuuharibu vibaya msikiti katika mji wa Manchester, Uingereza.
Habari ID: 3471072 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/18
TEHRAN (IQNA)-Nakala ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa na mtumwa Mwafrika nchini Marekani inaonyeshwa mjini Beirut Lebanon.
Habari ID: 3471069 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/16
TEHRAN (IQNA)-Mmoja kati ya misikiti ya kale zaidi nchini Kenya uko katika hatari ya kuangamia kutokana na ongezeko la mawimbi ya bahari.
Habari ID: 3471068 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/15
TEHRAN (IQNA)-Ulimwengu wa Kiislamu umelaani hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuufunga Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds Tukufu (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu baada ya oparesheni ya Wapalestina dhidi wanajeshi wa Kizayuni karibu na msikiti huo.
Habari ID: 3471067 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/15
TEHRAN (IQNA)-Wapalestina watatu wamepigwa risasi na kuuawa katika oparesheni dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds.
Habari ID: 3471066 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/14
TEHRAN (IQNA)- Katika kuendelea ukiukaji wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia, utawala wa Aal Saud umewanyonga raia wanne wa nchi hiyo wa mji wa Qatif.
Habari ID: 3471065 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/14
TEHRAN (IQNA)-Idadi ya Waislamu wanaoingia Marekani imepungua katika miezi mitano ya kwanza ya utawala wa Rais Donald Trump.
Habari ID: 3471064 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/13
Msomi wa Misri
TEHRAN (IQNA)-Mtaalamu wa masuala ya kidini nchini Misri amesema watoto wanapaswa kuepwa mafunzo sahihi ya Qur'ani ili kunusuru vizazi vijavyo visitumbukie katika misimamo mikali na utumiaji mabavu.
Habari ID: 3471063 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/12
TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Qur'ani Tukufu barani Ulaya yamepwanga kufanyika katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm.
Habari ID: 3471062 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/12
TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuhujumu kwa mara nyingine msikiti katika jimbo la Tennessee nchini Marekani.
Habari ID: 3471061 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/11
TEHRAN (IQNA)-Kwa muda wa takribani miezi miwili mtaa wa al Mosara katika mji wa Awamiyah nchini Saudi Arabia umekuwa chini ya mzingiro wa wanajeshi ambao wametekeleza uharibifu mkubwa na kuwaua raia kadhaa.
Habari ID: 3471060 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/10
TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu nchini Australia wanawalenga zaidi wanawake wenye kuvaa Hijabu, ripoti mpya imebaini.
Habari ID: 3471059 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/10
TEHRAN (IQNA)-Baada ya serikali ya Iraq kutangaza rasmi kukombolewa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa magaidiwa ISIS au Daesh, imebainika kuwa wakazi wa mji huo wanahitaji ushauri nasaha.
Habari ID: 3471058 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/10
TEHRAN (IQNA)-Maimamu wa misikiti barani Ulaya wameanzisha kampeni amani kwa kutemeblea miji iliyoshambulia na magaidi kwa jina la dini huku wakilaani ugaidi na misimamo mikali.
Habari ID: 3471057 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/09
TEHRAN (IQNA)- Mahakama katika mji wa Kaduna nchini Nigeria imetupilia mbali lalamiko lililowasilishwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu kuhusu hatua ya jeshi la nchi hiyo kukiuka haki za binadamu.
Habari ID: 3471056 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/08
TEHRAN (IQNA)-Watu 158 wamesilimu nchini Oman katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3471055 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/07
TEHRAN (IQNA)-Magaidi wa wakufurishaji wamehujumu kwa mabomu Kituo cha Qur'ani katika mkoa Idlib kasskazini magharibi mwa Syria na kuua watu 8 na kuwajeruhi wengine 16.
Habari ID: 3471053 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/06
TEHRAN-(IQNA)-Waziri wa Waqfu Misri ametangaza kuundwa Baraza Kuu la Qur'ani nchini humo kwa lengo la kuimarisha viwango vya kuhifadhi Qur'ani na kuratibu vituo vya Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3471052 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/06