TEHRAN (IQNA)-Denmark Imefuta sheria inayopiga marufuku kuzivunjia heshima dini na punde baada ya hapo aliyeivunjia heshima Qur'ani ameachiliwa huru.
Habari ID: 3471006 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/04
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya nchi 20 zinashiriki katika Maonyesho ya 25 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran mwaka huu.
Habari ID: 3471005 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/03
TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Utawala haramu wa Israel limeua shahidi watoto zaidi ya 3,000 Wapalestina tangu ulipoanza mwamako wa pili wa Wapalestina maarufu kama Intifadha mwezi Septemba 2000.
Habari ID: 3471004 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/02
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Canada wanachangisha pesa kusaidia familia za raia wa Somalia wanaokabilia na baa la njaa.
Habari ID: 3471003 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/01
TEHRAN (IQNA)-Wanawake Waislamu nchini Malawi sasa wanaweza kupigwa picha za leseni ya kuendesha gari wakiwa wamevaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3471002 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/31
TEHRAN (IQNA)-Uingereza ni makaazi ya jamii anui ya Waislamu kutoka karibu pembe zote za dunia.
Habari ID: 3471001 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/30
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Malawi wameanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kuzinduliwa televisheni ya kwanza ya Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3471000 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/29
TEHRAN (IQNA)-Maonyesho ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yameanza leo Alasiri katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini SA mjini Tehran.
Habari ID: 3470999 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/29
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa watawala wa Saudi Arabia ni wakali sana kwa Waislamu lakini wakati huo huo ni warehemevu kwa makafiri.
Habari ID: 3470998 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/28
TEHRAN (IQNA)-Maulamaa wa Kiislamu nchini Tanzania wamesisitiza kuhusu kuhifadhi umoja wa wa Waislamu katika suala la mwezi mwandamo na kutangaza kuanza na kumalizika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470996 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/27
TEHRAN (IQNA)-Hatua ya mfalme wa Saudia kumpa mkono mke wa Rais Donald Trump wa Marekani akiwa safarini mjini Riyadh inaendelea kukosolewa na Waislamu duniani.
Habari ID: 3470995 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/26
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Aal Khalifa ukiungwa mkono na Saudi Arabia na Marekani umepanga kuchukua uamuzi wa kumbaidisha Ayatullah Sheikh Isa Qassim mjini Najaf Iraq lakini wakuu wa Iraq wamepinga pendekezo hilo.
Habari ID: 3470993 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/25
TEHRAN (IQNA)- Sayyed Mostafa Husseini wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangazwa kushika nafasi ya pili katika qiraa katika Mashindano ya 5 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Uturuki.
Habari ID: 3470992 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/24
TEHRAN (IQNA)-Algeria imetangaza mpango wa kurekebisha mfumo wa usomeshaji Qur'ani katika shule za nchi hiyo kwa ushirikiano na wadau wa masuala ya kidini nchini humo.
Habari ID: 3470991 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/23
TEHRAN (IQNA)-Rais Donald Trump wa Marekani katika safari yake ya kwanza ya kigeni ametembelea Saudia kwa madai ya kuunganisha dunia katika vita dhidi ya ugaidi.
Habari ID: 3470990 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/22
KUALA LUMPUR (IQNA)-Mashindano ya 59 ya Kimataifa ya Qur'ani yamemalizika Jumamosi katika sherehe iliyofanyika mjini Kuala Lumpur
Habari ID: 3470989 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/21
TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain umemuhukumu mwanazuoni wa Kiisalmu Sheikh Issa Qasim kifungo cha mwaka mmoja na kuibuaasira za wananchi ambao wameandamana wakiwa wamevaa sanda, kupinga hukumu hiyo ya kidhulma.
Habari ID: 3470987 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/21
Vyombo vya habari vya Kiarabu vyakiri
TEHRAN (IQNA)-Vyombo vya habari vya Kiarabu vimekiri kushiriki kwa wingi Wairani hasa wanawake katika uchaguzi wa rais wa awamu ya 12 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470986 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/20
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa Saudi Arabia wanaendelea kuwaua na kuwakandamiza Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa al-Awamiyah mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470985 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/19
TEHRAN (IQNA)-Madrassah za jadi za kufunza Qur'ani nchini Eritrea zinaendelea kufunza Qur'ani kwa mbinu za kale huku zikizidi kuenea katika nchi hiyo ya kaskazini mashariki mwa Afrika.
Habari ID: 3470984 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/18