TEHRAN (IQNA)- Tarehe 16Septemba ni kumbukumbu ya ukatili wa kinyama uliotekelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kambi za Wapalestina za Sabra na Shatila mjini Beirut Lebanon.
Habari ID: 3471178 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/17
TEHRAN (IQNA)-Daktari Abdul El-Sayed, mwenye umri wa miaka 32 kutoka mji wa Detroit jimboni Michigan, anaendeleza kampeni kali ya kutaka kuwa gavana kwa kwanza Mwislamu Marekani.
Habari ID: 3471177 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/16
TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia mjini Nairobi, Kenya umezindua kampeni ya kuwasiadia Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaokandamizwa na kuangamizwa kwa umati nchini Myanmar.
Habari ID: 3471176 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/16
TEHRAN (IQNA)- Misikiti kadhaa imefungwa Saudia Arabia baada ya ukoo wa kifalme kuingiwa na kiwewe kuhusu uwezekano wa kuibuka maandamano ya raia kupinga mienendo ya utawala huo.
Habari ID: 3471175 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/15
TEHRAN (IQNA)-Wanawake waliowahi kushinda Tuzo ya Amani ya Nobel wamemwandikia barua kiongozi wa chama tawala nchini Myanmar, Aung San Suu Kyi wakimtaka awatetee Waislamu wanaoendelea kuuawa nchini humo.
Habari ID: 3471174 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/15
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umeulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuzuia maendeleo pamoja na kuzorotesha hali ya kibinadamu katika ardhi za Palestina zilizo katika eneo la Quds Mashariki, Ukingo wa Maghribi na Ukanda wa Ghaza katika kipindi cha zaidi ya miaka 50 ya kukalia kwa mabavu maeneo hayo.
Habari ID: 3471173 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/14
TEHRAN (IQNA)-Waislamu wameuawa wameuawa baada ya gaidi kujilipua ndani ya msikiti kaskaini mwa Cameroon, ambapo maafisa wa usalama wanashuku kundi la kigaidi la Boko Haram limehusika na hujuma hiyo.
Habari ID: 3471172 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/14
TEHRAN (IQNA)-Halima Yacob amechaguliwa Jumatano kuwa mwanamke wa kwanzi rais wa Singapore.
Habari ID: 3471171 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa kimya na kutochukua hatua jumuiya za kimataifa na wanaojigamba kuwa watetezi wa haki za binadamu kuhusiana na matukio ya maafa yanayojiri Myanmar.
Habari ID: 3471169 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/12
TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Jimbo la Sokoto nchini Nigeria imezijumuisha madrassah 4,000 za Qur'ani katika mfumo rasmi wa elimu.
Habari ID: 3471168 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/12
TEHRAN (IQNA)-Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC wamesisitiza kuhusu umuhimu wa kuchukuliwa hatua za haraka kumaliza mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.
Habari ID: 3471167 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/11
TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya 5 ya Qur'ani Tukufu yemamalizika Stockholm nchini Sweden Jumapili kw akutangazwa washindi.
Habari ID: 3471166 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/11
TEHRAN (IQNA)-Mwanasiasa wa cha chama cha Democrats nchini Sweden amewakasirisha wengi kwa kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471165 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/10
TEHRAN (IQNA)-Uchunguzi mpya wa hivi karibuni unaonyesha kwamba, vijana Waislamu wanaoishi nchini Uingereza wamekuwa waathirika wakubwa wa vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na ubaguzi kuanzia shuleni, vyuo vikuu na hata maeneo ya kazi.
Habari ID: 3471164 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/09
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa kusaidiwa Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaokandamizwa na kuuawa kwa umati nchini Myanmar.
Habari ID: 3471163 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/08
TEHRAN (IQNA)-Mfanyabiashara wa kike Mfaransa ambaye pia ni mama mzazi, Bi Samira Amarir, kwa muda mrefu alikuwa anatafuta bila mafanikio vitu mbali mbali vya watoto kuchezea, ambavyo vingeimarisha imani ya Kiislamu ya binti yake, hatimaye aliamua kujibunia yeye mwenyewe.
Habari ID: 3471162 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/07
TEHRAN (IQNA)-Mwanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon amesema kunahitajika hatua za kivitendo kusitisha mauji ya umati ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.
Habari ID: 3471161 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/06
TEHRAN (IQNA)-Watoto wa jamii wa Waislamu Warohingya walitoroka ukatili Myanmar na kupata hifadhi Bangladesh wamepata fursa ya kujifunza Qur’ani Tukufu katika kambi za wakimbizi.
Habari ID: 3471160 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/05
TEHRAN (IQNA)-Uislamu unaenea kwa kasi sana Nepal, nchi ambayo aghalabu ya wakaazi wake wengi ni Wahindi au Mabaniani.
Habari ID: 3471159 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/05
TEHRAN (IQNA)-Mamia ya wananchi wa Bahrain wameshiriki katika maandamano nchini humo wakitaka wafungwa wote wa kisiasa waachiliwe huru.
Habari ID: 3471156 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/03