iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Qatar hawataweza kutekeleza Ibada ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo kutokana na idadi kubwa ya vizingiti ambavyo vimewekwa na utawala wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3471626    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/12

TEHRAN (IQNA)- Duru ya 25 ya Mashidano ya Qur’ani ya Watoto wa kike na kiume yameanza nchini Qatar Mei 18.
Habari ID: 3471522    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/20

TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Saudi Arabia unawazuia raia wa Qatar kutekeleza Ibada ya Umrah katika miji mitakatifu ya Makkah na Madinah.
Habari ID: 3471345    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/07

TEHRAN (IQNA)-Wanafunzi wapatao 14,000 hadi sasa wamejisajili kushiriki katika awamu ya 57 ya Mashindano ya Qurani katika shule za Qatar.
Habari ID: 3471304    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/11

TEHRAN (IQNA)-Taasisi ya Misaada ya Qatar imesambaza nakala 4,000 za Qur'ani Tukufu zenye hati ya Braille ambayo hutumiwa na watu wenye ulemavu wa macho.
Habari ID: 3471220    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/17

TEHRAN (IQNA)- Hatimaye baada ya mashinikizo, Saudi Arabia imeafiki kufungua mpaka wake wa pamoja wa ardhini na Qatar kuruhusu mahujaji kutoka nchi hiyo kuelekea kwenye ardhi tukufu za Makka na Madina kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu.
Habari ID: 3471128    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/18

TEHRAN (IQNA)-Kufuatia nchi kadhaa za Kiarabu zikiongozwa na Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu UAE kukata uhusiano na Qatar, washiriki wa Qatari na Somalia wametimuliwa katika mashindano ya Qur’ani ya Dubai.
Habari ID: 3471018    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/13

TEHRAN (IQNA) Baada ya Saudi Arabia, Misri, Imarati na Bahrain kukatika uhusiano na Qatar, wizara ya mambo ya nje wa Qatar imekosoa hatua hiyo.
Habari ID: 3471008    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/05

IQNA-Jumba la Makumbusho la Qatar ambalo lina mkusanyiko mkubwa zaidi za sarafu za Kiislamu duniani limeandaa maonyesho yenye sarafu muhimu zaidi ya Kiislamu duniani.
Habari ID: 3470894    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/14

IQNA-Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka nchini Kuwait ametangazwa mshindi wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yaliyopewa jina la 'Bingwa wa Mabingwa' nchini Qatar.
Habari ID: 3470723    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/08

IQNA-Qatar imeandaa mashindano maalumu ya Qur'ani ya walioshika nafasi za kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qurani dunaini.
Habari ID: 3470705    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/29

IQNA-Shirika moja la misaada la Qatar limesambaza nakala 80,000 za Qur'ani miongoni mwa Waislamu nchini Tanzania.
Habari ID: 3470645    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/31

Misikiti 10 mipya inatazamiwa kujengwa nchini Mali magharibi mwa Afrika kupitia ufadhili wa Taasisi ya Misaada ya RAF.
Habari ID: 3454532    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/19

Shule ya Qur'ani na Sayansi za Qur'ani imefunguliwa nchini Ghana kwa hisani ya Taasisi ya Sheikh Eid ya Misaada ya Qatar.
Habari ID: 3349417    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/20

Shirika moja la kutoa misaada nchini Qatar limeanzisha vituo 169 vya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Niger.
Habari ID: 3335751    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/27

Qatar imeandaa maonyesho kuhusu miujiza ya Qur'ani Tukufu na mafanikio ya wanasayansi Waislamu katika historia.
Habari ID: 3318504    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/25

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ametaka kuimarishwa ushirikiano, umoja na udugu wa kidini baina ya nchi zote za Kiislamu duniani.
Habari ID: 3316509    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/20

Waziri wa Masuala ya Awqaf na Kiislamu nchini Qatar ameamuru kuundwa Kamati ya Ustawi wa Kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 2870538    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/19

Tajiri maarufu wa Saudi Arabia Al Waleed bin Talal amekiri kuwa nchi hiyo ya kifalme inawasaidia magaidi wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIL) ambalo linapigana dhidi ya serikali za Iraq na Syria.
Habari ID: 1463446    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/25