asilimu

IQNA

IQNA – Mwigizaji maarufu wa Hollywood, Giancarlo Esposito, amethibitisha kuingia kwake katika dini ya Kiislamu baada ya kutamka Shahada, nguzo kuu ya imani ya Kiislamu, na kushiriki katika ibada ya swala msikitini pamoja na wahudumu wenzake wa uzalishaji wa filamu.
Habari ID: 3482393   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/23

Uislamu unaenea kwa kasi
IQNA - Gervonta Davis, bondia bingwa wa dunia kutoka Baltimore, Marekani alisilimu siku ya Jumapili katika msikiti mmoja. Hayo yamedokezwa na Sheikh Hassan Abdi, ambaye aliongoza sherehe hiyo.
Habari ID: 3478108   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/29

TEHRAN (IQNA)- Mchezaji chipukizi wa timu ya kandanda ya Arsenal ya Uingereza kutoka Ghana, Thomas Partey amesilimu na kuwa Muislamu, kulingana na picha zilizochapishwa na akaunti ya "Muslim Athletes" kwenye mtandao wa Instagram.
Habari ID: 3475057   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/20

IQNA-Bondia mashuhuri wa Uingereza 'Tyson Fury' ametangaza kusilimu kupitia ujumbe wake wa Twitter na kutangaa jina lake kuwa, Riyadh Tyson Mohammad.
Habari ID: 3470674   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/13

Kasisi mmoja nchini Nigeria ametamka shahada mbili na kuwa mfuasi wa dini Tukufu ya Kiislamu na baada ya hapo akaligeuza kanisa lake kuwa msikiti.
Habari ID: 3339749   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07