IQNA – Serikali ya Indonesia imeahidi kuwa changamoto za bajeti hazitasababisha kusitishwa kwa msaada kwa shule za Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3480881 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/02
IQNA – Mji mkuu wa Iran, Tehran, umepangwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa kuhusu ubinadamu na uhuru.
Habari ID: 3480570 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/20
Turathi
IQNA-Miswada au maandiko ya kale ni hazina muhimu ya urithi wa binadamu. Majumba ya makumbusho, vyuo vikuu na vituo vya utafiti ni sehemu ambazo zimejaa maelfu ya maandiko ambayo yanasaidia kuelewa historia, sayansi, lugha, na sanaa mbalimbali hasa katika ustaarabu wa Kiislamu.
Habari ID: 3480523 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/11
IQNA - Usomaji wa Qur'ani na qari mdogo wa Kiirani nchini Indonesia umepokelewa vyema na viongozi wa nchi hiyo na mabalozi wa kigeni.
Habari ID: 3480172 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/07
IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ameidhinisha kusamehewa kikamilifu au sehemu ya adhabu wafungwa zaidi ya 3,000 katika maadhimisho ya mwaka wa 46 wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3480169 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/06
IQNA – Kituo cha Kiislamu kinachojulikana kama Centro Islámico huko Alief kinatazamiwa kuandaa sherehe kubwa ya ufunguzi wikendi hii kwani kituo hicho kinalenga kutoa nafasi kwa jamii kwa Waislamu wanaozungumza Kihispania katija mji wa Houston, Texas nchini Marekani.
Habari ID: 3479758 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/16
Michezo
IQNA - Chama cha Soka cha Uingereza (FA) kimeomba msamaha kwa mwanasoka mwanamke mwenye uraia pacha wa Uingereza - Somalia.
Habari ID: 3479684 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/02
Utamaduni
IQNA - Toleo la 20 la Tamasha la Kimataifa la Filamu za Kiislamu la Kazan lilianza katika mji mkuu wa Jamhuri ya Tatarstan ya Shirikisho la Russia siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3479399 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/08
Wasomi Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumamosi iliadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Ibn al-Jazari, qari mashuhuri katika karne ya 14 na 15 Miladia ambaye pia alikuwa mwanachuoni mashuhuri wa sayansi ya Qur’ani.
Habari ID: 3477979 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/03
Dubai (IQNA) Maonyesho ya kila miaka miwili ya sanaa ya Kaligrafia ya Kiislamu huko Dubai yalianza kazi yake kwa uwepo wa wasanii 200 kutoka nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3477691 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/05
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Mamlaka ya Palestina (PA) imeyataja maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo "mstari mwekundu".
Habari ID: 3475876 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/04
Turathi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Algeria inapanga kuandaa shindano litakalojumuisha kazi za kufufua turathi za Kiislamu za nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3475862 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Morocco yataandaliwa baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3475730 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya wanafunzi 80 waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu na wamehitimu kutoka shule ya Kiislamu huko Kaduna, kaskazini mwa Nigeria.
Habari ID: 3475699 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/29
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) linataka Idara ya Upelelezi Marekani (FBI) ichunguze tukio la jinai la uteketezaji moto wa msikiti wa East Grand Forks huko Minnesota mapema mwezi huu.
Habari ID: 3475391 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/18
Wanamichezo Waislamu
TEHRAN (IQNA)-Mwanasoka Mfaransa Muislamu alijiunga na Wahed Inc., kampuni ya kimataifa ya Kifedha ya Kiislamu, kama mwekezaji na ‘Balozi wa Chapa’.
Habari ID: 3475365 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/11
Hali ya Al Quds na Palestina
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani (IUMS) umetoa wito kwa Waislamu duniani kote na viongozi wa mataifa ya Kiislamu kuutetea Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Al Quds (Jerusalem) ambao unakabiliwa na hujuma ya walowezi wa Kizayuni.
Habari ID: 3475318 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/31
Mtazamo wa Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani amelaani mauaji ya kiholela hivi karibuni katika shule huko Texas, Marekani ambapo watu 22 waliuawa huku akiashiria aya ya 32 ya Sura Al Maidah katika Qur'ani Tukufu inayozungumzia matukio kama hayo ya mauaji yasiyo na msingi.
Habari ID: 3475303 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/27
Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu (WFPIST) amesemakuanzisha umoja wa nchi za Kiislamu ni jambo linalowezekana
Habari ID: 3475301 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/27
TEHRAN (IQNA)- Jumba la Makumbusho la Ustaarabu wa Kiislamu limezinduliwa kwenye uwanja wa Msikiti wa Grand Camlica, msikiti mkubwa zaidi wa Uturuki, katika wilaya ya Uskudar ya Istanbul.
Habari ID: 3475105 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/09