IQNA-Mkuu wa Shirika la UN la Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) ametahadharisha kwamba hatua ya utawala wa Israel kuweka mzingiro na kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia katika Ukanda wa Gaza inapelekea eneo hilo la pwani kukaribia baakubwa la njaa .
Habari ID: 3480426 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/24
IQNA - Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetoa onyo kali kwamba misaada ya kutosha ya kibinadamu haiwafikii Wapalestina huko Gaza, na kusababisha visa vikali vya njaa miongoni mwa watoto.
Habari ID: 3478924 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/04
Jinai za Israel
IQNA - Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya katika Ukanda wa Gaza ambapo watu wanahangaika maisha kila siku, ukitangaza kuwa utazindua ombi la kimataifa la dola bilioni 2.8 kwa Gaza na Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3478694 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/17
Jinai za Israel
IQNA-Ripota wa Umoja wa Mataifa anasema utawala wa Kizyuni wa Israel unatumia njaa kama silaha dhidi ya watu Wapalestina wa Gaza ambao wanakabiliwa na mgogoro mkubwa wa chakula baada ya miaka ya vikwazo na vita vya sasa vya maangamizi ya umati vinavyotekelezwa na Israel.
Habari ID: 3478241 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/23
TEHRAN (IQNA)- Yemen inakabiliwa na baa kubwa la njaa ambalo linaweza kuvuruga jitihada mpya za kusaka amani katika nchi hiyo ambayo kwa miaka sita sasa imekuwa ikikabiliwan na hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia na waitifaki wake,
Habari ID: 3473663 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/19
TEHRAN (IQNA) - Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa indhari kuhusu uwezekano wa mamilioni ya watu wa Yemen kupoteza maisha kutokana na njaa huku Saudi Arabia ikiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi ya Kiarabu.
Habari ID: 3473420 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/04
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa mamilioni ya watu wa Yemen, hasa wanawake na watoto, wanakabiliwa na baa la njaa huku Saudia ikiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi katika bara Arabu.
Habari ID: 3473355 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/13
IQNA: Umoja wa Mataifa umeonya kuwa baa la njaa limeenea katika nchi kadhaa za Afrika na Yemen ambapo mamilioni ya watu wakiwa katika hatari ya kupoteza maisha.
Habari ID: 3470866 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/23