iqna

IQNA

moto
Waislamu na Wakristo Misri
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar Misri kimetoa salamu za rambirambi kwa Wakristo nchini humo kutokana na moto kanisani uliosababisha vifo vya takriban watu 41 wakiwemo watoto.
Habari ID: 3475626    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/15

TEHRAN (INQA)- Algeria inasema misitu nchini humo imeteketezwa moto hivi karibuni na makundi mawili ambavyo ni ya "kigaidi", na moja ya kati ya makundi hayo linaungwa mkono na Morocco na utawala wa Kizayuni Israel.
Habari ID: 3474208    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/20

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Idara ya Afya katika Mkoa wa Dhi Qar nchini Iraq wametangaza kuwa watu wasiopungua 90 wamepoteza maisha kufuata mkasa wa moto katika kitengo cha wagonjwa wa corona katika Hospitali ya Imam Hussein as mjini Nasiriya.
Habari ID: 3474096    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/13

TEHRAN (IQNA)- Kufuatia mashinikizo, serikali ya Sri Lanka imebatilisha uamuzi wake wa kuteketeza moto miili ya Waislamu waliopoteza maisha kutokana na Corona au COVID-19.
Habari ID: 3473685    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/26

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa wito kwa Sri Lanka kuheshimu haki za Waislamu kuzikwa kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3473679    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/24

TEHRAN (IQNA)- Waumini wasiopungua 17 wamepoteza maisha katika ajali ya mripuko wa bomba la gesi katika msikiti nchini Bangladesh.
Habari ID: 3473141    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/05

TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa kihistoria uliojengwa miaka 139 iliyopita umeteketea moto katika mji wa Durban, Afrika Kusini.
Habari ID: 3473104    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/26

TEHRAN (IQNA)-Waislamu waliokuwa wameamka kutekeleza ibada za usiku za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani walifanikiwa kuokoa maisha ya watu wengi wakati wa kuanza kuteketea moto jengo la Grenfell Tower mjini London.
Habari ID: 3471019    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/15

Polisi nchini Canada wamesema kuwa, moto ulioteketeza msikiti mmoja katika mji wa Peterborough mkoani Ontario ulitokana na kuwashwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3453396    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/16

Kundi la watu wasiojulikana limeushambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Rome mji mkuu wa Italia na kuteketeza nakala zote za Qur’ani Tukufu zilizokuwemo msikitini humo.
Habari ID: 1389037    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/19