Mashindano ya Qur'ani Tukufu
        
        IQNA – Kituo cha Televisheni cha Al-Kawthar kimetoa mwaliko wa kushiriki katika toleo la 18 la mashindano yake ya Qur'ani kwa njia ya televisheni yaliyopangwa kufanyika katika mwezi wa Ramadhani 2025.
                Habari ID: 3480048               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/01/13
            
                        Ahul Bayt AS
        
        IQNA – Katika Sura Al-Kawthar ya Qur'ani Tukufu, Mwenyezi Mungu Mtukufu amemneemesha Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) kwa kumpa “Kawthar,” ili kuinua roho yake na kubainisha kuwa wale wanaomsema vibaya ni wao wenyewe watakaosalia bila ya vizazi.
                Habari ID: 3479936               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/12/22
            
                        Mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa njia ya televisheni
        
        TEHRAN (IQNA) - Usajili wa wanaotaka kushiriki toleo la 16 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Kanali ya Televisheni ya Al-Kawthar TV utaanza Jumamosi, Februari 4.
                Habari ID: 3476495               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/01/31
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Zoezi la kuwasajili washiriki wa Awamu ya 14 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Televisheni ya Al Kauthar linaendelea.
                Habari ID: 3473764               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/03/27
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Qarii wa Qur’ani kutoka Iran, Ustadh Ali Asghar Shoaei, ameibuka mshindi katika duru ya 11 ya Mashindano ya Qur’ani ya mubashara kupitia Televisheni ya Kimataifa ya Al Kawthar.
                Habari ID: 3471561               Tarehe ya kuchapishwa            : 2018/06/16
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)-Televisheni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imerusha hewani mashindano makubwa zaidi duniani ya Qur'ani ya  moja kwa moja (live).
                Habari ID: 3471035               Tarehe ya kuchapishwa            : 2017/06/25