TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya hivi karibuni ya Algeria kupinga utawala haramu wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika.
Habari ID: 3474548 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/12
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa taarifa na kusema kuwa, Aban 13 (Novemba 4) ambayo ni siku ya kupambana na ubeberu nchini Iran, bila ya shaka yoyote imebadilisha kabisa mlingano wa nguvu kieneo na kimataifa.
Habari ID: 3474517 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05
TEHRAN (IQNA)- Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa Iran iko tayari kuingia kwenye mazungumzo ambayo matokeo yake ni kuondolewa vikwazo vyote na kwamba haikubali mazungumzo yasiyo na mwelekeo.
Habari ID: 3474516 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05
TEHRAN (IQNA)- Operesheni maalumu na iliyotekelezwa wakati mwafaka na wanajeshi shupavu wa kikosi cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limefanikiwa kuzima jaribio la uharamia na wizi wa mafuta uliosimamiwa na manuwari ya kijeshi ya Marekani katika maji ya Bahari ya Oman.
Habari ID: 3474511 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/03
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Mahmoud Shaltut wa Misri alikuwa miongoni mwa wanazuoni walioanzisha harakati ya kukurubisha madhehebu za Kiislamu na alitoa fatwa ya kihistoria kuhusu Ushia.
Habari ID: 3474491 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/30
TEHRAN (IQNA)- Matayarisho ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani yameanza huku nchi kadhaa zikiwa tayaris zimeshatangaza kuwa tayari kushiriki.
Habari ID: 3474490 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/30
TEHRAN (IQNA)- Hatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, harakati zinazofanywa na mabeberu kwa sasa zinalenga kuvuruga amani na usalama.
Habari ID: 3474488 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shambulio la kimtandao (cyber attack) dhidi ya vituo vya mafuta vya Jamhuri ya Kiislamu ni njama za maadui zilizolenga kuwahamakisha na kuvuruga maisha ya kila siku ya Wa iran i.
Habari ID: 3474485 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/28
Kikao cha Tehran
TEHRAN (IQNA)-Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi JIrani na Afghanistan mwishoni mwa kikao chao hapa Tehran wametoa taarifa ya pamoja na kusisitiza kuwa: njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Afghanistan ni kuasisi muundo mpana wa kisiasa kwa kuyashirikisha makundi yote ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474482 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/28
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Waislamu hawapaswi kuungana na kusimama pamoja wakati wa matukio fulani maalumu pekee, bali wanapaswa kushirikiana nyakati zote na kustawi pamoja, kwani hilo ni jambo la dharura.
Habari ID: 3474468 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/24
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raisi ametuma salamu maalumu na mkono wa baraka na fanaka kwa viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya kukumbuka kuzaliwa Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad Muhammad SAW na Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3474464 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/24
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 35 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limemalizika Jumamosi mjini Tehran baada ya kufanyika kwa muda wa siku tano.
Habari ID: 3474463 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/24
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni mwandamizi wa Iraq amesisitiza kuhusu ulazima wa wanazuoni na maulamaa wa Kiislamu dunaini kuwa macho ili kuzuia njama za maadui za kuchochea mifarakano baina ya Waislamu.
Habari ID: 3474452 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/21
TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), amesema muqawama au mapambano ndio njia bora zaidi ya kukomboa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474447 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/20
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amesema wazo la kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu lililobuniwa na Imam Khomeini (MA), Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ni hatua ya kistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474444 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/19
TEHRAN (IQNA)- Misikiti 225 kote katika mji mkuu wa Jamuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran, imejunga na kampeni maalumu ya kuwapa chanjo waumini katik kipindi cha siku 20.
Habari ID: 3474436 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/18
TEHRAN (IQNA)- Hujjatul Islam Hamid Shahriari, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amezungumza na waandishi habari kuhusu Kongamano la 35 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3474432 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/17
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali kitendo cha magaidi wakufurishaji kuushambulia msikiti wa Bibi Fatima wakati wa Sala ya Ijumaa mjini Kandahar nchini Afghanistan.
Habari ID: 3474428 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16
TEHRAN (IQNA)- Mkurugenzi wa Taasisi ya Mustafa (saw) amesema kuwa wanasayansi watano Waislamu wametunukiwa tuzo ya taasisi hiyo ya mwanasayansi bora katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka huu wa 2021.
Habari ID: 3474418 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/13
Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa vita vya vyombo vya habari vya maadui vimevizidi nguvu na kasi vita vya kiuchumi na kwamba hata maadui wa mapinduzi wananufaika na vita hivyo vya vyombo vya habari katika vita vyao vya kiuchumi dhidi ya mataifa mengine.
Habari ID: 3474416 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/12