TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametuma salamu za rambirambi kwa taifa la Palestina kutokana na kufariki dunia Katibu Mkuu wa Kamandi Kuu ya Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Palestina (PFLP—GC), Ahmad Jibril.
Habari ID: 3474083 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/09
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kutoomba radhi kwa kuitungua ndege ya abiria ya Jamhuri ya Kiislamu mwaka 1988 katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa, Washington inapaswa kubebeshwa dhima kwa kumuenzi kamanda aliyetenda jinai hiyo.
Habari ID: 3474066 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/03
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Redio na Televisheni za Kiislamu amehutubu amsema hatua ya Marekani kufunga tovuti kadhaa za televisheni wanachama wa jumuiya hiyo ni ukiukaji wa wazi wa uhuru wa maoni.
Habari ID: 3474053 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/29
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo amesema kuwa wananchi wa Iran ndio washindi halisi wa uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi huu katika mazingira ya maambukizi ya corona na matatizo ya kiuchumi na kwamba wamemfanya adui na vibaraka wake washindwe na kufeli.
Habari ID: 3474049 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/28
Kamanda Mkuu wa IRGC
TEHRAN (IQNA)- Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema mafanikio ya Iran katika uga wa sayansi yametokana na kutegemea mantiki ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474046 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/27
TEHRAN (IQNA)- Nasser Abu Sharif, mwakilishi wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina mjini Tehran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni muungaji mkono mkubwa zaidi wa harakati za kupigania ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3474045 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/26
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo Ijumaa hapa mjini amedungwa dozi ya kwanza kabisa ya chanjo ya corona ya COVIran Barekat na kusema kuwa: Kuna ulazima wa kuthamini na kuenzi fahari hii ya taifa ya kuzalisha chanjo ya Ki iran i ya corona.
Habari ID: 3474041 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/25
TEHRAN (IQNA)- Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) limetoa taarifa na kulaani hatua ya tovuti zake kadhaa na za mrengo wa muqawama kufungwa na serikali ya Marekani na kusema kitendo hicho ni ukiukwaji wa wazi wa uhuru wa maoni na ni hujuma dhidi ya vyombo huru vya habari.
Habari ID: 3474036 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/23
TEHRAN (IQNA)- Kumekuwa na ongezeko la asilimi 20 la Misahafu iliyochapishwa nchini Iran katika mwaka huu wa Ki iran i wa Hijria Shamsia ulioanza Machi 21.
Habari ID: 3474034 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/23
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi mwandamizi wa Kiislamu nchini Iraq Sayyid Muqtada al Sadr ametoa wito kwa Iran na Saudi Arabia kutatua hitilafu zao kupitia mazungumzo.
Habari ID: 3474031 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/22
TEHRAN (IQNA)- Tuko katika kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Ridha AS, mmoja kati ya Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3474029 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/21
TEHRAN (IQNA)- Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza na waandishi habari kuhusu sera za kitaifa na za kimataifa za serikali yake
Habari ID: 3474027 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/21
TEHRAN (IQNA) - Viongozi mbali mbali duniani wanaendelea kumtumia salamu za pongezi Sayyid Ebrahim Raeisi kufuatia ushindi wake katika uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uliofanyika Ijumaa.
Habari ID: 3474024 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/20
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amempongeza Sayyid Ebrahim Raeisi kufuatia ushindi wake katika uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uliofanyika Ijumaa.
Habari ID: 3474023 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/20
TEHRAN (IQNA)- Baada ya kumalizika zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi wa 13 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran imetangaza matokeo rasmi ya uchaguzi huo ulioshirikisha mamilioni ya wapiga kura.
Habari ID: 3474022 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/19
Kiongozi Muadhamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza hatua ya kujitokeza kwa wingi wananchi wa Iran katika uchaguzi mkuu wa jana Ijumaa na kusisitiza kuwa, 'washindi wakuu wa uchaguzi ni wananchi wenyewe, ambao azma yao thabiti haikuvunjwa moyo na ama janga (la Corona) au njama za kuwakatisha tamaa.
Habari ID: 3474021 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/19
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi kumepelekea taifa la Iran lipate ushindi katika kukabiliana na maadui.
Habari ID: 3474020 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/19
TEHRAN (IQNA)- Mamilioni ya wananchi wa Iran jana walijitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa rais na pia uchaguzi wa mabaraza ya Kiislamu ya miji na vijiji.
Habari ID: 3474019 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/19
Uchaguzi nchini Iran
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei alikuwa wa kwanza kutumbukiza kura yake kwenye sanduku la kupigia kura mapema leo katika kituo cha Husainiya ya Imam Khomeini (MA) mjini Tehran.
Habari ID: 3474017 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/18
TEHRAN (IQNA)- Mamilioni ya Wa iran i wakiongozwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei tangu mapema leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kuchagua Rais wa 13 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wawakilishi wao katika Mabaraza ya Kiislamu ya Miji na Vijiji.
Habari ID: 3474016 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/18