iqna

IQNA

Kiongozi wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kuunga mkono Wapalestina na harakati zao za muqawama au mapambano.
Habari ID: 3474259    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/05

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kufuatia kuaga dunia Ayatullahil Udhma Sayyid Mohammad Saeed Tabatabai Hakim wa Iraq.
Habari ID: 3474257    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/04

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kuongezwa kiwango cha mabadilishano ya kibiashara na ushirikiano na mataifa j iran i.
Habari ID: 3474247    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/01

TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa 31 wa Mfumo wa Kiislamu wa Iran umeanza hapa Jumanne hapa Tehran.
Habari ID: 3474243    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/31

TEHRAN (IQNA) –Kongamano la 35 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limepengwa kufanyika mwezi Oktoba kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474240    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/30

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaunga mkono taifa madhulumu la Waislamu la Afghanistan katika hali yoyote ile." Aidha ameongeza kuwa, uhusiano wa Iran na serikali zingine utategemea muamala wao na Iran.
Habari ID: 3474233    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/28

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akiwa na baraza lake la mawaziri wamefika katika Haram Takatifu ya muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomieni -Mwenyezi Mungu Amrehemu-na kujadidisha bai'a na mkono wa utii kwa malengo ya Imam na Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3474227    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/26

TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi anasema amechagua baraza la mawaziri ili kuboresha uchumi na kupambana na ufisadi.
Habari ID: 3474212    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/21

TEHRAN (IQNA) -Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu wa Iran amesema kushindwa kijeshi na kuondoka Marekani Afghanistan inapasa kuwe ni fursa ya kufufua maisha, amani na usalama endelevu ndani ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474197    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/16

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Kupambana na Corona kwamba tayari ameidhinisha kununua dozi milioni 30 za chanjo ya COVID-19.
Habari ID: 3474190    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/14

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, majilisi za Muharram maombolezo ya Bwana wa mashahidi, Imam Hussein AS zinaletaa rehma na baraka za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3474179    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/11

TEHRAN (IQNA)- Kozi ya mafunzo ya kidini imeandaliwa kwa pamoja baina ya Chuo Kikuu cha Dini na Madhehebu cha Iran kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Ujerumani cha Paderborn.
Habari ID: 3474178    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/10

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa wito kwa pande zote katika vita nchini Afganistan kusitisha vita na mauaji ya ndugu kwa ndugu sambamba na kufanya mazungumzo ya kutatua mgogoro uliopo huku ikitangaza kuwa tayari kuwa mwenyeji wa mazungumzo hayo.
Habari ID: 3474171    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/08

Katika mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran na Nigeria zimekuwa zishikishirikiana vyema katika nyanja mbalimbali.
Habari ID: 3474164    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/06

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna fursa nyingi na nzuri za kuboresha na kustawisha kiwango cha uhusiano baina ya Iran kwa upande mmoja na Tanzania na Zanzibar kwa upande mwingine.
Habari ID: 3474163    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/06

TEHRAN (IQNA)- Sayyid Ibrahim Raisi amekula kiapo jioni ya leo na kuwa rais wa 8 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuahidi kwamba atalinda na Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na Katiba ya nchi kwa nguvu zake zote.
Habari ID: 3474160    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/05

TEHRAN (IQNA)- Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa serikali yake inataka kuondolewa vikwazo haramu vilivyowekwa na madola ya kibeberu dhidi ya Iran lakini suala hilo halitafungamanishwa na matakwa ya madola ajinabi.
Habari ID: 3474155    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/03

TEHRAN (IQNA)- Sherehe za kuidhinishwa rasmi rais wa 8 wa Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu zimefanyika leo mchana katika Hussainiya ya Imam Khomeini (MA) mjini Tehran ambapo Ayatullah Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi na viongozi wengine wa ngazi za juu wa Mfumo wa Kiislamu wamehudhuria kwa kuzingatia kikamilifu maelekezo na miongozo ya Wazara ya Afya juu ya kujikinga na virusi vya Covid-19.
Habari ID: 3474153    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/03

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mipango na miradi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipaswi kufungamanishwa na ushirikiano na nchi za Magharibi, kwani imedhihirika wazi wakati wa kipindi cha serikali inayomaliza muda wake hapa nchini kwamba, kuwategemea Wamagharibi hakuna faida yoyote.
Habari ID: 3474136    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/28

TEHRAN (IQNA)- Javad Foroughi, 41, muuguzi katika Hospitali ya Baqiyatullah mjini Tehran amekuwa Mu iran i wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020.
Habari ID: 3474125    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/25