Balozi wa Syria nchini mjini Tehran
TEHRAN (IQNA)- Balozi wa Syria nchini mjini Tehran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa nchi yenye nafasi muhimu zaidi katika eneo na pia katika sera za kimataifa na inahusika katika kuibua mfumo mpya ya kimataifa.
Habari ID: 3473976 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/03
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la Kimataifa la 'Imam Khomeini na Ulimwengu wa Kisasa" linafanyika leo katika Haram ya Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu-Kusini mwa Tehran.
Habari ID: 3473975 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/03
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania kimezindua Kanali ya YouTube kwa lugha ya Kiswahili kuhusu sira na fikra za Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu, muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3473973 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/02
Mohammad Javad Zarif
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema pamoja na kuwepo kila aina ya njama za madola makubwa ya kibeberu, wananchi wa Iran leo wanasimama kidete na kwa heshima.
Habari ID: 3473972 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/02
Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA)- Fikra za Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu- kuhusiana na harakati na Mapindizi ya Kiislamu ziliegemea kwa wananchi, amesema Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Habari ID: 3473971 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/02
TEHRAN (IQNA) – Afisa mwandamizi wa Hilali Nyekundi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema yamkini Iran ikatuma mahujaji wasiozidi 2,000 kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3473970 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/01
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa mashindano ya Qur’ani yaliyofanyika hivi karibuni nchini Uganda wametunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473966 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa ulinzi wa Iran amesema Wapalestina waliibuka ushindi hivi karibuni katika vita na utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na imani yao kwa Mwenyezi Mungu kwa Allah SWT.
Habari ID: 3473965 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31
Kamanda wa Kikosi cha QUDS cha IRGC
TEHRAN (IQNA) - Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema wakati umefika kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuanza kutafakari kuondoka katika ardhi za Palestina unaozikalia kwa mabavu haraka iwezekanavyo.
Habari ID: 3473962 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/30
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewataka wananchi wa Iran wapuuze ushawishi wa watu wanaojaribu kuwakatisha tamaa na wanaowaambia hakuna faida kushiriki katika uchaguzi.
Habari ID: 3473952 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/27
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni kumesambaa klipu ya qarii Mu iran i, Mehdi Adeli, akisema aya za Qur'ani Tukufu nchini Uturuki.
Habari ID: 3473951 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/27
TEHRAN (IQNA) - Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetaja majina ya wagombea wa urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao wa Juni humu nchini.
Habari ID: 3473945 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/25
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa muqawama au mapambano ya mataifa dhidi ya wavamizi ndio njia pekee ya kuwashinda.
Habari ID: 3473944 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/25
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Ayatullah Ali Khamenei amejibu barua za viongozi wa harakati za mapambano ya kukomboa Palestina za Hamas na Jihad Islami akisisitiza kuwa: Nyoyo zetu ziko pamoja nanyi katika uwanja wa mapambano yenu, na hatimaye mtapata ushindi.
Habari ID: 3473941 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/24
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran limeibuka na ushindi katika vita ya kiuchumi.
Habari ID: 3473939 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/23
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamkia leo imetoa taarifa rasmi ya kulipongeza taifa la Palesstina hasa wakazi mashujaa na wenye subira wa Ukanda wa Ghaza kwa kusimama imara mbele ya mashambulio ya kinyama ya Israel.
Habari ID: 3473935 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/22
TEHRAN (IQNA)- Maandamano yamefanyika mjini Tehran kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3473929 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/20
TEHRAN (IQNA) - Wabunge 200 wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wametoa tamko la pamoja la kutaka kufutwa vikwazo vyote ilivyowekewa Iran.
Habari ID: 3473924 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/18
TEHRAN (IQNA)-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa iko tayari kuwapokea na kuwapa matibabu bila malipo Wapalestina ambao wamejeruhiwa katika hujuma za kinyama za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3473919 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/17
Rais Iran katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Uturuki na kusisitiza kuwa kadhia ya Palestina ni kadhia muhimu zaidi ya pamoja kwa umma wa Kiislamu hivi sasa.
Habari ID: 3473917 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/16