Rais Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Wazayuni na watawala wasiotaka mageuzi katika eneo wanataka vikwazo vya kidhalimu dhidi ya watu wa Iran viendelee.
Habari ID: 3473724 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/10
TEHRAN (IQNA) – Usiku wa Jumanne ulikuwa wa nne katika fainali za mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3473723 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/10
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu kwa Kongamano la Taifa la "Jeshi la Malaika Walioweka Historia" lililoitishwa maalumu kwa ajili ya kuwaenzi wanawake waliouawa shahidi, majeruhi wa vita na walioachiliwa huru na kusema kuwa, wanawake hao wanamapambano na mashujaa wenye kujitolea katika njia ya haki, ni vilele bora vya fakhari za Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3473721 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/09
TEHRAN (IQNA)- Fainali ya kitengo cha wanawake katika Mashindano ya 37 Kimataifa ya Qur’ani ya Iran ilianza Jumapili.
Habari ID: 3473715 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/08
TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran imeanza Jumamosi Machi 6 katika sherehe iliyoudhuriwa na Mkuu wa Shirika la Iran la Wakfu na Misaada Hujjatul Islam wal Muslimin Mehdi Khamoushi.
Habari ID: 3473712 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/07
TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran inaendelea ambapo kuna washiriki kutoka maeneo mbali mbali ya dunia.
Habari ID: 3473711 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/07
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amemtumia ujumbe Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei akimshukuru kwa kuwa kwake muda wote na wananchi wa Lebanon na kwa hatua yake ya kutoa mkono wa pole kufuatia kufariki dunia Sheikh Ahmad al Zin, mwanachuoni mkubwa wa wa Kisuni wa Lebanon.
Habari ID: 3473709 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/06
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Kiislamu nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amekutana na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ambapo katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3473707 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/06
Wiki ya Maliasili na Siku ya Kupanda Miti nchini Iran
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitia kuwa, harakati za mazingira ni harakati za kidini na kimapinduzi huku akitahadharisha kuhusu uharibifu wa misitu na maliasili.
Habari ID: 3473706 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/05
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur’ani kwa ajili ya wanafunzi wa shule yatafanyika nchini Uganda katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3473705 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/05
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemtumia ujumbe wa rambirambi Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kufuatia kuaga dunia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Jumuiya ya Maulamaa Waislamu Lebanon.
Habari ID: 3473701 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/04
TEHRAN (IQNA) – Kamati andalizi ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu imetangaza majina ya jopi la majaji katika mashindano hayo.
Habari ID: 3473698 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/03
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran yanalenga, kati ya mambo mengine, kustawisha umoja na mshikamano wa Kiislamu duniani kote.
Habari ID: 3473694 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/02
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani haina budi ila kulipigia magoti taifa la Iran baada ya kukiri kufeli sera zake za vikwazo.
Habari ID: 3473693 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/01
TEHRAN (IQNA) – Mwaka 1994, qarii mashuhuri wa Misri marhum Sheikh Abolainain Shoaisha alitembelea Iran ambapo alishiriki katika kikao cha qiraa ya Qur'ani Tukufu katika Haram ya Hadhrat Abdul Adhim Hassani AS mjini Tehran.
Habari ID: 3473691 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/01
Rais Hassan Rouhani katika uzinduzi wa Barbara Kuu ya Ghadir
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kuzinduliwa Barabara Kuu ya Ghadir ni ishara ya wazi ya kufeli 'mashinikizo ya juu kabisa' ya adui dhidi ya Iran.
Habari ID: 3473683 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/25
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitalegeza kamba katika misimamo yake ya kimantiki kwenye maudhui ya nyuklia na itarutubisha madini ya urani hata kufikia asilimia 60 kulingana na maslahi na mahitaji ya nchi.
Habari ID: 3473675 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/23
TEHRAN (IQNA) – Bango la Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu limezinduliwa wiki mbili kabla ya kuanza mashindano hayo.
Habari ID: 3473670 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/21
TEHRAN (IQNA) -Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza nafasi ya kipekee ya tabaka la vijana katika masuala muhimu nchi na kueleza kuwa, uwepo wa kizazi hicho katika masuala hasasi ya nchi ni katika mafanikio na fakhari ya Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3473668 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/20
Rais Rouhani
TEHRAN (IQNA) -Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kuwa, leo hii Marekani na serikali mpya ya nchi hiyo zimetambua kuwa zilifanya makosa kuhusu Iran na kueleza kuwa: Kusalimu amri mbele ya sheria si aibu na kwamba serikali ya Marekani haina budi ila kusalimu amri mbele ya sheria.
Habari ID: 3473662 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/18