iqna

IQNA

Spika ya Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema kutiwa saini mapatano ya ushirkiano wa Iran na China ni onyo muhimu kwa Marekani na kuongeza kuwa, matukio ya kimataifa yanachukua mkondo wa kasi ambao ni kwa hasara ya Marekani.
Habari ID: 3473781    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/04

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Masuala ya Kigeni wa Saudi Arabia amedai kuwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuna faida nyingi za kiuchumi, kijamii na kiusalama kwa eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3473778    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/02

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa vikwazo ni dhulma kubwa dhidi ya taifa la Iran na vinapaswa kuondolewa ameeleza kwamba.
Habari ID: 3473774    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/31

TEHRAN (IQNA)- Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko China jana Jumanne aliandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa ametembelea mkoa wenye Waislamu wengi nchini humo ambao wakaazi wake wengi Waislamu wa jamii wa Uighur.
Habari ID: 3473773    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/31

TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu azimio dhidi ya Iran lililotolewa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, nchi zinazokanyaga haki za mataifa ya dunia hazina ustahiki wa kuzungumzia haki za binadamu.
Habari ID: 3473759    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/25

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa Iran inaunga mkono mpango wowote wa kuleta amani Yemen.
Habari ID: 3473756    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/23

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria kadhia ya vikwazo na kusisitiza kuwa, mzingiro wa kiuchumi na vikwazo ni kati ya jinai kubwa za serikali na kadhia hiyo haipaswi kutazamwa kwa jicho la kisiaasa na kidiplomasia.
Habari ID: 3473752    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/21

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema leo katika ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kuwadia mwaka mpya wa Ki iran i wa 1400 Hijria Shamisa kwamba kusimama imara taifa la Iran kumepelekea kushindwa maadui.
Habari ID: 3473751    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/20

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kuingia leo mwaka wa Ki iran i wa 1400 wa Hijria Shamsia na mbali na kutoa mkono wa baraka za mwaka huo mpya wa Nairuzi amesema: Mwa huu ni wa uzalishaji, uwezeshaji na uondoaji mikwamo na vizuizi.
Habari ID: 3473750    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/20

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ulimwengu wa Kiislamu una wajibu wa kupambana vilivyo misimamoo mikali ndani yake. Amesema, ni wajibu wa ulimwengu huo kuunganisha nguvu zake kupambana na watu wenye aidiolojia za chuki na za kuwakufurisha Waislamu wengine.
Habari ID: 3473745    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/18

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kufidia makosa yaliyofanywa na serikali iliyopita ya Marekani si kwa manufaa ya Iran tu bali ni kwa maslahi ya Marekani yenyewe , eneo na taasisi za kimataifa.
Habari ID: 3473741    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/16

TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya 37 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran ambayo yamefanyika kwa njia ya intaneti yalimalizika Jumatano huku washindi wakitunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473727    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, sikukuu kubwa ya Mab’ath na kumbukumbu ya kubaathiwa na kupewa Utume Mtume Muhammad SAW ni ya wapigania uadilifu kote ulimwenguni.
Habari ID: 3473726    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/11

Rais Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Wazayuni na watawala wasiotaka mageuzi katika eneo wanataka vikwazo vya kidhalimu dhidi ya watu wa Iran viendelee.
Habari ID: 3473724    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/10

TEHRAN (IQNA) – Usiku wa Jumanne ulikuwa wa nne katika fainali za mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3473723    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/10

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu kwa Kongamano la Taifa la "Jeshi la Malaika Walioweka Historia" lililoitishwa maalumu kwa ajili ya kuwaenzi wanawake waliouawa shahidi, majeruhi wa vita na walioachiliwa huru na kusema kuwa, wanawake hao wanamapambano na mashujaa wenye kujitolea katika njia ya haki, ni vilele bora vya fakhari za Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3473721    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/09

TEHRAN (IQNA)- Fainali ya kitengo cha wanawake katika Mashindano ya 37 Kimataifa ya Qur’ani ya Iran ilianza Jumapili.
Habari ID: 3473715    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/08

TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran imeanza Jumamosi Machi 6 katika sherehe iliyoudhuriwa na Mkuu wa Shirika la Iran la Wakfu na Misaada Hujjatul Islam wal Muslimin Mehdi Khamoushi.
Habari ID: 3473712    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/07

TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran inaendelea ambapo kuna washiriki kutoka maeneo mbali mbali ya dunia.
Habari ID: 3473711    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/07

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amemtumia ujumbe Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei akimshukuru kwa kuwa kwake muda wote na wananchi wa Lebanon na kwa hatua yake ya kutoa mkono wa pole kufuatia kufariki dunia Sheikh Ahmad al Zin, mwanachuoni mkubwa wa wa Kisuni wa Lebanon.
Habari ID: 3473709    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/06