TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq maarufu kama Al-Hashdu-Sha'abi au PMU amesisitiza ulazima wa kutekelezwa agizo la bunge la nchi hiyo la kutaka askari wa jeshi la Marekani waondoke nchini humo.
Habari ID: 3473569 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/18
TEHRAN (IQNA)- Nusu fainali ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran inaanza Jumanne Januari 19.
Habari ID: 3473568 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/18
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya amesema kufedheheka na kuaibika utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani katika siku zake za mwisho ni ishara kuwa, ubaguzi wa rangi na ukiukwaji sheria na mambo ambayo hayana mwisho mwema.
Habari ID: 3473553 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza bayana kuwa, kuingizwa Iran chanjo ya corona au COVID-19 kutoka Marekani na Uingereza ni marufuku.
Habari ID: 3473535 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/08
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amegusia namna rais wa Marekani Donald Trump alivyotoa amri ya kuuliwa kiwogawoga, Shahidi Qassem Soleimani, na kusema kuwa, shambulio hilo la anga linaonesha uchochole wa kupindukia wa Donald Trump ambaye ameshindwa kupambana na shujaa huyo katika medani ya mapambano na badala yake alimvizia kiwogawoga uraiani na kumuua.
Habari ID: 3473523 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/04
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Shahidi Qassem Soleimani hakuwa ni mtetezi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia pekee bali aliwatetea Waislamu wote na hata wasiokuwa Waislamu wakiwemo Wakristo na alijitolea muhanga kwa ajili yao.
Habari ID: 3473521 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/03
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu wa kuomboleza kifo cha mwanachuoni mkubwa, faqihi mwanaharakati, Ayatullah Muhammad Taqi Misbah Yazdi.
Habari ID: 3473516 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/02
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya vikali Marekani kwa kupiga ngoma ya vita na kusisitiza kuwa, taifa hili lipo tayari kujilinda.
Habari ID: 3473512 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/01
TEHRAN (IQNA) – Semina ya Nabii Isa Masih, yaani Yesu, -Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-imefanyika nchini Kenya katika fremu ya 'Mazungumzo Baina ya Dini'.
Habari ID: 3473510 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/31
TEHRAN (IQNA)- Chanjo ya corona au COVID-19 iliyotegenezwa na watafiti Wa iran i imeanza kufanyiwa majaribio kwa wanadamu siku ya Jumanne 29 Disemba ambapo watu waliojitolea wamedungwa chanjo hiyo.
Habari ID: 3473509 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/31
TEHRAN (IQNA)- Khitma ya Qur’ani Tukufu imefanyika Tehran Jumanne kwa mnasaba wa kukaribia mwaka moja tokea alipouawa shahidi kamanda wa ngazi za juu wa Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
Habari ID: 3473507 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/30
TEHRAN (IQNA)- Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa cha Iran.
Habari ID: 3473501 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/28
TEHRAN (IQNA) – Binti Mu iran i, Hannaneh Khalafi, ambaye ametajwa kuwa bingwa wa Qur'ani, ataanza kutoa mafunzo ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3473495 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/26
Krismasi
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za pongezi viongozi wa dunia kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Nabii Isa Masih-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- na kuwadia mwaka mpya wa 2021 Miladia.
Habari ID: 3473489 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/25
Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon
TEHRAN (IQNA) - Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Shahidi Qassem Soleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya mipango kiistikbari ya Marekani na ndio maana ameuliwa kigaidi na adui.
Habari ID: 3473480 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wauaji wa shahidi Luteni Jenerali Qassim Soleimani lazima walipiziwe kisasi na kisasi hiki hakina shaka na kitatekelezwa wakati wowote.
Habari ID: 3473463 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/16
TEHRAN (IQNA) – Nakala milioni 2.2. za Qur’ani Tukufu zimechapishwa nchini Iran katika kipindi cha miezi tisa iliyopita.
Habari ID: 3473461 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/16
TEHRAN (IQNA) - Wawakilishi wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kusisitiza kwamba, wanategemea kutoka kwa Rais wa Uturuki uj iran i mwema na kufanyika juhudi za kuweko umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu na uletaji amani na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi na kutangaza kuwa, lugha za kufarakanisha za Erdogan zinashangaza na katu hazikubaliki.
Habari ID: 3473454 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/14
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kumuweka balozi wa Marekani nchini Yemen katika orodha ya waliowekewa vikwazo na Iran.
Habari ID: 3473443 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/10
TEHRAN (IQNA) - Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al MustafaSAW kimetoa taarifa na kueleza kuwa hatua ya serikali ya Markani ya kukiwekea vikwazo chuo hicho ni mfano wa wazi wa siasa za kupinga elimu.
Habari ID: 3473442 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/10