Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumamosi amesema magaidi wa ISIS waliibuliwa kuiangamiza Iran lakini kwa nguvu zake, Iran imeweza kuwalemaza.
Habari ID: 3470415 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/26
Kiongozi Muadhamu Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha vipengee kadhaa vya hekima za Imam Ali bin Abi Twalib (as) zilizoandikwa katika kitabu cha Nahjul Balagha.
Habari ID: 3470413 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/24
Awamu ya 24 ya Mashindano ya Qur'ani ya nchi za Afrika Magharibi yamefanyika nchini Senegal.
Habari ID: 3470411 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/23
Kunafanyika maonyesho ya Qur'ani katika miji 100 nchini Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470410 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/22
Waziri wa Usalama Iran Mahmoud Alavi amesema magaidi wakufurishaji waliokamatwa hivi karibuni walipanga kutekeleza mashambulizi katika maeneo 50 kote Iran.
Habari ID: 3470409 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/22
Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Muhammad Javad Zarif amesema Waislamu wanapaswa kuungana ili kuonyesha nchi za Magharibi kuwa wanaweza kupambana na ugaidi na misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3470408 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa umma unapaswa kufahamishwa kuhusu hiana inayofanywa na Marekani katika utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
Habari ID: 3470406 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/21
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kulaani hatua ya Bahrain ya kumvua uraia Ayatullah Isa Qassim.
Habari ID: 3470405 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/21
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameainisha malengo ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu kwa ajili ya kuifanya Iran kuwa na nguvu, heshima na huru na kusema kuwa vyuo vikuu ni msingi mkuu wa kufanikisha malengo hayo.
Habari ID: 3470398 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/19
Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu mjini Tehran mwaka huu yameshuhudia ongezeko la washiriki kutoka nchi mbali mbali duniani.
Habari ID: 3470396 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/18
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametahadharisha juu ya njama za maadui wanaoazimia kukwamisha maendeleo ya Iran.
Habari ID: 3470389 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/15
Waziri wa Utamaduni na Muongozi wa Kiislamu Iran Ali Jannati amefungua Maoneysho ya 24 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu mjini Tehran Jumatatu usiku.
Habari ID: 3470385 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/14
Qarii wa Mu iran i Medhi Gholamnejad Jumamosi alionyesha ustadi wake katika kusoma Qur'ani Tukufu katika Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Uturuki.
Habari ID: 3470379 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/12
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemandaa vikao 400 maalumu vya usomaji Qur'ani kote Iran katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470375 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/11
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, umaridadi na ujamali uliomo katika maneno ya Qur'ani Tukufu ni muujiza na ni mlango wa kuvutiwa na mafundisho aali na yenye maana pana ya aya hizo.
Habari ID: 3470368 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/08
Rais wa Iran katika ujumbe wa Ramadhani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito kwa viongozi wa nchi za Kiislamu kushirikiana ili kukabiliana kukabiliana na wale misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3470366 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/07
Baadhi ya nchi za Kiarabu zimetangaza tarehe 6 Juni kuwa siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470361 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/06
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani ndio muungaji mkono mkubwa zaidi wa magaidi wa kundi la ISIS au Daesh na makundi mengine ya kigaidi duniani.
Habari ID: 3470360 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/05
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Tunapaswa kutumia uzoefu wa mazungumzo ya nyuklia yaliyothibitisha kuwa Marekani haiwezi kuaminika na hivi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ichukue mkondo wake wa ustawi.
Habari ID: 3470356 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/03
Ijumaa hii Wa iran i na wapenda haki duniani wanakumbuka siku ya kufariki dunia Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye alikuwa na nuktaa za kipekee katika uongozi wake.
Habari ID: 3470353 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/02