Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, msikiti unapaswa kuwa kituo cha kumjenga mwanadamu kukabiliana na adui, kuujenga moyo kimaanawi na kidunia, kuongeza muono na kuandaa mazingira kwa ajili ya kuleta ustaarabu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470535 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/21
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri zimepata medali zao za kwanza za mashindano ya taekwondo ya wanawake katika michezo ya Olimpiki ya Rio, 2016.
Habari ID: 3470534 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/20
Wanaharakati watatu katika nyuga za dini, elimu na uchapishaji wanatazamiwa kushiriki katika Tamasha la 14 la Kimataifa la mjukuu wa Mtume SAW, Imam Ridha AS.
Habari ID: 3470513 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/10
Wanafunzi Wakristo nchini Zimbabwe wameshiriki katika warsha ya siku moja kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3470510 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/09
Kituo cha utamaduni cha Iran nchini Senegal kimeandaa warsha kuhusu kusoma Qur’ani kwa tajwid katika mji mkuu wa Senegal, Dakar.
Habari ID: 3470506 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08
Mkutano wa tatu wa Siku ya Haki za Binadamu za Kiislamu na Heshima ya Mwanadamu umefanyika mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Mkuu wa Vyombo vya Mahakama Iran, Ayatullah Amolo Larijani.
Habari ID: 3470502 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/07
Duru ya tano ya mashindano ya kimatiafa ya Qur’ani ya wanafunzi wa shule yatafanyika nchini Iran mwezi Februari mwaka 2017.
Habari ID: 3470493 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/04
Tamasha la Kimataifa la mjukuu wa Mtume SAW, Imam Ridha AS, litafanyika nchini Iran na kushirikisha nchi 77 mwaka huu.
Habari ID: 3470491 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/03
Maonyesho ya kwanza na ya pamoja ya Qur’ani ya Iran na Senegal yamefanyika katika Msikiti wa Jamia wa Dakar, mji mkuu wa Senegal.
Habari ID: 3470487 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asema mapatano ya nyuklia kati ya Iran na nchi za kundi la 5+1 maarufu kwa kifupi JCPOA ni tajiriba inayoonesha kutokuwa na matunda wala faida kufanya mazungumzo na Marekani .
Habari ID: 3470486 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/01
Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu yatakayofanyika Iran yanatazamiwa kuwa na washiriki kutoka nchi Zaidi ya 50.
Habari ID: 3470481 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29
Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara za Kidini Iran
Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara za Kidini Iran amesisitiza kuhusu Diplomasia ya Hija baina ya nchi zote za Kiislamu hasa Iran na Pakistan.
Habari ID: 3470467 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/21
Katibu wa Baraza la Ustawi wa Utamaduni wa Qur’ani Iran amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni tukio la kipekee katika Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470445 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/10
Nakala 480,000 za Qur’ani Tukufu zimechapishwa nchini Iran katika miezi mitatu ya kwanza ya Kalenda ya Ki iran i kuanzia Machi 21 hadi Juni 20.
Habari ID: 3470443 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/10
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema leo kuwa taifa la Iran litaendelea kusimama kidete dhidi ya maadui wote kwa ajili ya kutetea taifa linalodhulumiwa la Palestina.
Habari ID: 3470435 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/06
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za kigaidi zilizojiri Jumatatu Saudi Arabia likiwemo ikiwemo karibu na Msikiti wa Mtume SAW katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3470434 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/05
Kiongozi Muadhamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepuuzilia mbali madai ya Washington kuwa iko tayari kufanya mazungumzo na Iran juu ya masuala mbalimbali ya kieneo.
Habari ID: 3470430 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/03
Khatibu wa Saala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Saala ya Ijumaa Tehran amesema Siku ya Kimataifa ya Quds ni hatua kubwa kupambana na uistikbari na adui Mzayuni aambaye ndiye adui mkuu wa Uislamu.
Habari ID: 3470426 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/01
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds na amewataka Waislamu hususan wananchi wa Iran kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya siku hiyo Ijumaa wiki hii
Habari ID: 3470423 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/29
Kamandi ya Majeshi yote ya Iran imetoa wito kwa wote katika ulimwengu wa Kiislamu kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa hii.
Habari ID: 3470419 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/28