iqna

IQNA

Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Kongamano lijalo la Risalatallah linalenga kueneza mafundisho ya Qur'ani Tukufu duniani, amesema mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu.
Habari ID: 3479592    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/14

Muqawama
IQNA - Utawala wa Israel haujapata mafanikio yoyote yanayoonekana huko Gaza tangu Oktoba 7 mwaka jana zaidi ya kuwaua Wapalestina wapatao 42,000, wengi wao wakiwa wanawake na watoto.
Habari ID: 3479555    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07

Msaada
IQNA - Idadi kubwa ya wataalam wa matibabu wa Iran wametoa wametangaza utayari wao wa kwenda Lebanon kuwahudumia watu wa nchi hiyo ya Kiarabu huku utawala wa Kizayuni, ukiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479552    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07

Diplomasia
IQNA - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu Iran Masoud Pezeshkian amepongeza uhusiano unaokua kati ya na Saudi Arabia, akisisitiza umuhimu wa muunganiko mkubwa zaidi kati ya nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3479533    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04

IQNA - Iran ina washindani wawili katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Croatia mwaka huu.
Habari ID: 3479498    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/27

Kiongozi Muadhamu
IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na wanaharakati wa Vita vya Kujihami Kutakatifu na Muqawama na kusisitiza kuwa, kambi ya Muqawama ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndiye mshindi katika Jihadi kwa njia ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479490    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/26

Umoja wa Kiislamu
IQNA - Rais wa Baraza la Ushauri la Mashirika ya Kiislamu ya Malaysia (MAPIM) alitoa wito kwa nchi za Kiislamu kutuma majeshi yao kukabiliana na ukatili wa utawala wa Israel huko Gaza.
Habari ID: 3479487    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/25

Waislamu Nigeria
IQNA - Shule ya Amirul Muminin (AS) huko Abuja, mji mkuu wa Nigeria, imezindua kozi za kuhifadhi Qur'ani kwa wavulana na wasichana.
Habari ID: 3479475    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/23

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, adui analeta mgawanyiko na mifarakano kati yetu na kubainisha kwamba, Waisraeli milioni 2 au 3 wanawaangamiza Waislamu, wanaua wanawake na watoto, wazee na vijana na wagonjwa, wanapiga mabomu hospitali na misikiti na sisi tumekaa tu na kutazama, kwa sababu hatuna umoja na ndio maana Israel inathubutu kufanya jinai hizi.
Habari ID: 3479453    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/19

Maulidi
IQNA – Wasimamizi wa Haram ya Imam Ridha (AS) katika mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran wamepanga vikao kadhaa vya Qur'ani Tukufu, wakibainisha kuwa zinalenga kulinda urithi wa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3479447    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/17

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema umoja kati ya Waislamu si mbinu bali ni "kanuni ya Qur'ani," akiwataka Maulamaa kuzingatia utambulisho wa Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3479445    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/16

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe ya kutunuku washindi wa toleo la 38 la Mashindano ya Qur’ani na Etrat ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Iran ilifanyika Tabriz siku ya Jumatano.
Habari ID: 3479421    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/12

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 38 la Mashindano ya Qur'an na Etrat kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya Iran lilizinduliwa katika mji wa kaskazini magharibi wa Tabriz siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3479412    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/10

IQNA - Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, alikutana na mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei nchini Iraq.
Habari ID: 3479384    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/04

IQNA-Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inaunga mkono makubaliano yoyote ambayo yanakubaliwa na Wapalestina na muqawama.
Habari ID: 3479348    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/29

Usalama
IQNA-Wizara ya Usalama wa Taifa Iran imesema imewatia mbaroni magaidi 14 wa kundi la kigaidi la Daesh au ISIS, na hivyo kuzima njama zao za kutekeleza mashambulizi ya kigaidi ndani ya nchi.
Habari ID: 3479314    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/23

Siasa
IQNA-Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imehitimisha mjadala kuhusu baraza jipya la mawaziri la serikali ya awamu ya 14 kwa kuidhinisha mawaziri 19 waliopendekezwa na Rais Masoud Pezeshkian.
Habari ID: 3479311    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/21

Arbaeen 1446
IQNA - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mohammad Reza Aref amesisitiza haja ya kutoa huduma bora kwa wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479287    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/16

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mmoja wa wawakilishi wawili wa Iran katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu mjini Makka alitia fora na kuwavutia sana hadhirina wakati aliopandaa jukwaa Jumatatu.
Habari ID: 3479274    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/13

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Wawakilishi  wawili wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamefika Saudi Arabia kushiriki katika toleo la 44 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia.
Habari ID: 3479252    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/09