iran - Ukurasa 4

IQNA

IQNA – Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo amekosoa vikali vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran, akivitaja kuwa ni fedheha kwa familia nzima ya kibinadamu na mtihani mkubwa wa maadili kwa ulimwengu mzima.
Habari ID: 3482082   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/23

IQNA – Mwanazuoni mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sayyid Ali al‑Sistani, amelaani kwa maneno makali vita vinavyoendeshwa hivi sasa na Marekani na Israel dhidi ya Iran na Lebanon, na amewataka Waislamu wote pamoja na watu huru duniani kuvipinga na kuvikemea.
Habari ID: 3482080   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/22

IQNA – Iran itaadhimisha Eid al‑Fitr siku ya Jumamosi, tarehe 21 Machi, baada ya hilali ya mwezi wa Shawwal kutoonekana nchini humo jioni ya Alhamisi.
Habari ID: 3482074   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/20

IQNA-Katika taarifa yenye vipengele sita iliyoelekezwa kwa serikali za nchi za Kiislamu, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema: “Lazima muamue msimamo wenu katika Vita vya Ramadhani, je, mnasimama upande wa nchi ya Kiislamu ya Iran, au upande wa Marekani na Israel?”
Habari ID: 3482064   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/17

IQNA – Wakati mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yakiingia katika juma lake la tatu na idadi ya raia wanaopoteza maisha ikiongezeka pande zote mbili, sauti ya kwanza ya kupinga imejitokeza kutoka ndani ya utawala wa Trump wenyewe.
Habari ID: 3482059   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/15

IQNA-Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yameanza leo kote nchini Iran huku taifa likiwa katika maombolezo ya shahidi Imam Ayatullah al Udhma Sayyid Ali Khamenei.
Habari ID: 3482052   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/13

IQNA – Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds yanatarajiwa kufanyika katika miji na maeneo yote ya Iran Ijumaa hii.
Habari ID: 3482041   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/11

Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani/4
IQNA-Katika matukio ya hivi karibuni, mbele ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kulikuwepo njia mbili: vita au mazungumzo. Watu wengi kwa kawaida walipendelea mazungumzo. Hata hivyo, kwa nini hatima ya nchi ikaishia kwenye vita?
Habari ID: 3482033   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/09

IQNA — Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi mpya ya Diplomasia ya Qur'ani amesisitiza kuwa dhamira kuu ya taasisi hiyo ni kuimarisha umoja wa Umma wa Kiislamu kwa msingi wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3481999   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/26

IQNA – Kufuatia kuonekana kwa hilali ya mwezi mwandamo jioni ya Jumatano, Alhamisi ilitangazwa rasmi kuwa siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani nchini Iran.
Habari ID: 3481956   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/19

IQNA – Mwanazuoni wa Kisunni kutoka Iran amesema kuwa kulinda umoja wa Umma wa Kiislamu kutazima njama zote zinazopangwa na maadui.
Habari ID: 3481950   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/17

IQNA – Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) limesambaza kionjo rasmi cha msimu mpya wa kipindi cha televisheni cha “Mahfel”, ambacho hurushwa nchini Iran wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481943   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/16

IQNA-Kiongozi wa harakati ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa Marekani na Utawala wa Israel zinakabiliana na Iran kwa sababu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasimama kama kizuizi dhidi ya mradi wao mpana wa kutawala eneo la Asia Magharibi au Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3481932   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/14

IQNA – Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamegeuka kuwa mfano hai wa kuunganisha dini, maisha ya kijamii na maendeleo katika ulimwengu wa kisasa, amesema mchambuzi mmoja wa masuala ya kisiasa kutoka Lebanon.
Habari ID: 3481925   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/12

Mamilioni ya wananchi kutoka matabaka yote ya kijamii wamejitokeza mitaani kote nchini Iran kushiriki maandamano ya kitaifa yanayoashiria maadhimisho ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3481919   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/11

IQNA – Jumuiya ya Qur'ani ya Iran imesisitiza kuwa vita kuu duniani hadi leo bado ni vita juu ya Qur'ani, ikisema kuwa hali ya sasa ya maendeleo ya kimataifa inaonyesha wazi kuwa wakati umefika kwa mazungumzo na fikra za Qur'ani kujitokeza kwa nguvu katika uwanja wa umma.
Habari ID: 3481913   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/10

IQNA – Hafla maalumu imefanyika mjini Tehran siku ya Jumapili kutoa heshima kwa marehemu mwanazuoni mashuhuri Sheikh Ahmed Omar Hashem, aliyewahi kuwa Rais wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar cha Misri.
Habari ID: 3481907   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/09

IQNA – Majina ya wanachama wa Msafara wa Qur'ani wa Nurwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, unaotarajiwa kuelekea Ufalme wa Saudi Arabia wakati wa msimu wa Hija mwaka huu, yametangazwa rasmi.
Habari ID: 3481906   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/09

IQNA – Qari au Msomaji mahiri wa Qur'ani Tukufu kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohsen Qassemi, ameibuka mshindi wa kwanza katika toleo la tatu la Tuzo ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur'ani ya Al-Ameed, lililofanyika nchini Iraq.
Habari ID: 3481902   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/08

IQNA – Profesa mmoja wa Chuo Kikuu kutoka Iraq ameyalezea Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran si tu kama tukio la kisiasa, bali kama mabadiliko makubwa katika mantiki ya madaraka na ufahamu wa Ummah ya Kiislamu.
Habari ID: 3481894   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/07