Siasa
IQNA - Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu la Iran ameilaani Marekani kwa kutoa uungaji mkono wa kila namna kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika hujuma zake za mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3479706 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05
Waungaji Mkono Palestina
IQNA - Maonyesho ya picha zinazoonyesha jinai za utawala haramu wa Israeli dhidi ya Palestina yamefanyika Harare, mji mkuu wa Zimbabwe.
Habari ID: 3479694 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/03
Iran
IQNA-Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari wa Dunia ambayo huadhimishwa tarehe 13 Aban (Novemba 3 au 4) kila mwaka hapa Iran, yamefanyika Tehran na katika miji mingine kote Iran.
Habari ID: 3479693 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/03
Harakati za Qur'ani
IQNA - Seyed Parsa Angoshtan, qari wa Iran aliyeshika nafasi ya pili katika mashindano ya 9 ya kimataifa ya Qur'ani Uturuki mapema wiki hii amezungumza kuhusu hayo nay ale yanayofanyika nchini Iran.
Habari ID: 3479688 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/02
Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo ameeleza sababu za msingi za mapambano ya taifa la Iran yanayoendelea kwa takriban miaka 70 dhidi ya dhulma na sera za kupenda kujitanua za Marekani, na kusisitiza kuwa: Katika njia hiyo ya ushindi, utawala wa Kizayuni na Marekani watapewa jibu kali kwa hatua yoyote dhidi ya taifa la Iran.
Habari ID: 3479685 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/02
Taarifa
IQNA-Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesikitishwa na shambulizi la kigaidi la Jumamosi dhidi ya msafara wa polisi katika Mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini mashariki mwa Iran ambapo maafisa 10 wa polisi waliuawa shahidi.
Habari ID: 3479676 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/31
IQNA - Kundi la wanachama wa Jumuiya ya Qur'ani ya Iran wametembelea watu wa Lebanon, ambao wamejeruhiwa katika shambulio la Israel, katika hospitali jijini Tehran.
Habari ID: 3479666 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29
IQNA – Maandalizi ya Mashindano ya 43 ya kitaifa ya Qur'ani, Etrat na Swala ya wanafunzi wa shule za Iran yameshika kasi kwa kuzinduliwa kwa mchakato wa usajili.
Habari ID: 3479665 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29
Diplomasia
IQNA - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza haki isiyopingika ya Iran kujibu kitendo cha kichokozi cha hivi karibuni cha utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3479662 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/28
Diplomasia
IQNA-Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemwandikia barua Mwenyekiti wa Baraza la Usalama na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kufuatia mashambulizi ya jana ya utawala wa Kizayuni dhidi ya vituo vya kijeshi vya Iran na kusisitiza kuwa: Hatua za Tel Aviv ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa kimataifa.
Habari ID: 3479654 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/27
Taarifa
IQNA-Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali hatua ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni ya kushambulia baadhi ya vituo vya kijeshi hapa nchini, na kuitaja kuwa ni ukiukwaji wa wazi wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3479648 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/26
IQNA – Mbunge wa ngazi za juu katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (bunge la Iran) amepongeza kikosi cha ulinzi wa anga cha Iran kwa kufanikiwa kuzima shambulio la anga la utawala haramu Israel Jumamosi asubuhi.
Habari ID: 3479647 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/26
Katika ujumbe baada ya kuuawa shahidi Sayyid Safieddine
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amempongeza Sayyed Hashem Safieddine, kiongozi wa ngazi za juu wa Hizbullah aliyeuawa shahidi hivi karibuni katika hujuma ya utawala haramu wa Israel, na kuitaja harakati ya muqawama kuwa "mtetezi shupavu zaidi wa Lebanon na ngao madhubuti zaidi dhidi ya uroho wa utawala wa Kizayuni." Aidha amesisitiza kuwa, Hizbullah iko hai na inastawi.
Habari ID: 3479640 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/25
IQNA - Qari wa Iran Seyed Sadeq Moslemi hivi karibuni alisoma aya za Qur'ani Tukufu kwa nia ya kuwezesha harakati ya muqawama (mapambano ya Kiislamu) ya Wapalestina ipate ishindi dhidi ya adui Mzayuni.
Habari ID: 3479632 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/22
Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Maafisa kutoka Iran na Malaysia wamesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano katika nyanja za Qur'ani.
Habari ID: 3479630 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/22
Diplomasia
IQNA- Rais wa Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Iwapo nchi za Kiislamu zitaungana zenyewe, utawala wa Kizayuni wa Israel hatathubutu kufanya jinai kirahisi na Marekani na nchi za Magharibi pia hazitaunga mkono utawala huo."
Habari ID: 3479608 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17
IQNA - Hamid Majidimehr ameteuliwa kuwa mkuu wa kamati ya maandalizi ya toleo la 41 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3479593 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/14
Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Kongamano lijalo la Risalatallah linalenga kueneza mafundisho ya Qur'ani Tukufu duniani, amesema mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu.
Habari ID: 3479592 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/14
Muqawama
IQNA - Utawala wa Israel haujapata mafanikio yoyote yanayoonekana huko Gaza tangu Oktoba 7 mwaka jana zaidi ya kuwaua Wapalestina wapatao 42,000, wengi wao wakiwa wanawake na watoto.
Habari ID: 3479555 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07
Msaada
IQNA - Idadi kubwa ya wataalam wa matibabu wa Iran wametoa wametangaza utayari wao wa kwenda Lebanon kuwahudumia watu wa nchi hiyo ya Kiarabu huku utawala wa Kizayuni, ukiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479552 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07