iqna

IQNA

Arbaeen 1446
IQNA - Rais Masoud Pezeshkian wa Iran aliipongeza serikali ya Iraq kwa uratibu na ushirikiano na Jamhuri ya Kiislamu ili kuimarisha huduma zinazotolewa kwa wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479226    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/04

Qiraa
IQNA - Hamid Reza Ahmadivafa ndiye qari aliyechaguliwa kusoma Qur'ani Tukufu kufungua hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Iran Daktari Masoud Pezeshkian 30 Julai 2024.
Habari ID: 3479214    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02

Muqawama
IQNA-Shahidi Ismail Haniya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) alikuwa mwanamapambano ambaye alijitolea maisha yake yote katika kuendesha mapambano dhidi ya maadui wa Uislamu.
Habari ID: 3479212    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02

Siasa
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ameutaja uchaguzi wa Rais wa Awamu ya 14 wa Jamhurii ya Kiislamu ya Iran kuwa ni wa mafanikio ya taifa katika mtihani muhimu. Ameyasema hayo leo mjini Tehran katika sherehe ya amemuidhinisha rasmi Rais wa Awamu ya 14 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian.
Habari ID: 3479196    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/28

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Zahra Ansari ambaye amehifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu ataiwakilisha Iran katika toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak Kwa Wanawake ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3479186    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/26

Turathi ya Kiislamu
IQNA - Nakala ya Qur'ani Tukufu (Msahafu) iliyoandikwa kwa mkono miaka 180 iliyopita imezawadiwa Maktaba Kuu ya Chuo Kikuu cha Tehran.
Habari ID: 3479183    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/25

Uchaguzi wa Iran
IQNA-Daktari Masoud Pezeshkian, akiwa na uzoefu wa muda mrefu kama mbunge na kama waziri wa afya, ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa Iran uliofanyika Ijumaa.
Habari ID: 3479078    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06

Uchaguzi wa Rais wa Iran Mwaka 1445
Masoud Pezeshkian alipata kura nyingi katika duru ya pili ya uchaguzi siku ya Ijumaa, na kuwa rais wa tisa wa Iran.
Habari ID: 3479074    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06

Siasa
IQNA-Matokeo rasmi na ya mwisho ya duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati wa Iran yanaonesha kuwa zoezi hilo litaingia katika duru ya pili.
Habari ID: 3479031    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/29

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewataka wananchi wa Iran kutosita hata kidogo kushiriki katika uchaguzi wa leo wa Rais.
Habari ID: 3479025    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/29

Uchaguzi wa Rais wa Iran
IQNA-Wananchi wa Iran waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kura ili kumchagua Rais mpya atakayemrithi Ebrahim Raisi aliyekufa shahidi katika ajali ya helikopta Mei 19 mwaka huu.
Habari ID: 3479024    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/28

Sikukuu ya Eid Ghadir Khum
Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amekutana na kuzungumza na maelfu ya wananchi katika sherehe ya maadhimisho ya Sikukuu ya Eid Ghadir Khum.
Habari ID: 3479012    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/26

Diplomasia
IQNA-Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Canada (Kanada) ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC ) kwenye orodha ya kile inachokiita "makundi ya kigaidi" ni zawadi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, magaidi na maadui wengine wa amani na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3478994    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/21

Mashindano ya Qur’ani Tukufu
Mwakilishi wa Iran katika kategoria ya kuhifadhi ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Uturuki ana matumaini ya kufuzu kwa fainali.
Habari ID: 3478989    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/20

Kadhia ya Palestina
IQNA - Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalipata ushindi mwaka 1979 yalikuwa ni utangulizi wa mwamko wa Wapalestina, amesema mwanazuoni wa Lebanon.
Habari ID: 3478955    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/09

IQNA - Shirika la Wakfu na Masuala Iran limeongeza muda wa mwisho wa kusajiliwa kwa Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu. Hamid Majidimehr, Mkuu wa Kituo cha Masuala ya Qur'ani cha shirika hilo, aliiambia IQNA siku ya Jumamosi kwamba makataa ya usajili yameongezwa kwa siku kumi hadi Juni 18.
Habari ID: 3478953    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/09

Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za kufunga toleo la 10 la mashindano ya Qur'ani kati ya majeshi ya Iran na Oman zimefanyika huku washindi wakipokea tuzo zao.
Habari ID: 3478945    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Qur'ani kati ya majeshi ya Iran na Oman yanaendelea katika mji mkuu wa Oman, Muscat.
Habari ID: 3478937    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/05

Hija 1445
IQNA - Zaidi ya nusu ya Wa iran i wanaotarajiwa kuhiji mwaka huu wamewasili Saudi Arabia, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478905    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/31

Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muqawama ni utambulisho mzuri na bora wa Syria na akaeleza kwamba, nafasi maalumu iliyonayo Syria katika eneo ni kutokana na utambulisho huu na sifa hiyo muhimu inapaswa kuhifadhiwa.
Habari ID: 3478904    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/30