TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Misri Sheikh Abdul Fattah Taruti ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kimataifa la Kuhifadhi Qur’ani.
Habari ID: 3473208 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/27
TEHRAN (IQNA) - Vyuo vikuu vya umma nchini Indonesia vimetangaza kuwa vijana waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu wanaweza kuingia katika vyuo vikuu pasina kufanya mtihani wa kawaida unaohitajika kuingia chuo kikuu.
Habari ID: 3472032 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/04
TEHRAN (IQNA)- Msichana mwenye umri wa miaka 19 na ambaye anaugua ugonjwa wa kupooza kwa ubongo (cerebral palsy) amefanikiwa kuhifadhi sura 42 za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471927 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/24
TEHRAN (IQNA)- Mtoto wa miaka 7 kutoka mji wa Luton nchini Uingereza amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu ikiwa ni katika kufuata nyayo za dada yake ambaye pia alifanikiwa kufanya hiyo miaka miwili iliyopita wakati akiwa na umri huo huo.
Habari ID: 3471761 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/04
TEHRAN (IQNA)- Msichana Mmisri mwenye ulemavu wa macho na ambaye pia aliugua saratani amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3471593 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/14
TEHRAN (IQNA)- Mtoto mwenye umri wa miaka mitano nchini Nigeria amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu na hivi karibuni alishika nafasi ya pili katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3471579 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/01
TEHRAN (IQNA)-Mzee mwenye umri wa miaka 65 mjini Jeddah, Saudi Arabia, amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamlifu kwa muda wa miezi 10.
Habari ID: 3471246 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/03
TEHRAN (IQNA)-Mama Muirani na watoto wake mapacha wamefanikiwa kuhifadhi Qur’ani kikamilifu.
Habari ID: 3471183 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/19
TEHRAN (IQNA)-Wafungwa 21,000 wanaoshikiliwa katika magereza ya Iran wamehifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471126 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/16