mabuddha

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Hali ya hatari imetangazwa kote Sri Lanka Jumanne baada ya magenge ya Mabuddha kuwahujumu Waislamu katika wilaya moja ya kati mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471420   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/07

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa kusaidiwa Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaokandamizwa na kuuawa kwa umati nchini Myanmar.
Habari ID: 3471163   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/08

TEHRAN (IQNA)-Mamia ya Waislamu wa kabila la Rohingya wamezingirwa na Mabuddha wenye misimamo mikali katika kijiji kimoja kilichoko katika jimbo la Rakhine, magharibi mwa Myanmar.
Habari ID: 3471139   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/24