iqna

IQNA

Kiongozi wa Chuo Kikuu cha al-Azhar nchini Misri Ahmad al-Tayib, ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kufanyia marekebisho mitalaa ya elimu katika taasisi za elimu ili kupunguza wimbi la vijana kujiunga na makundi ya kigaidi.
Habari ID: 2891633    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/24

Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa, nchi hiyo haina vita na Uislamu, bali inapambana na watu wanaoupotosha Uislamu.
Habari ID: 2876869    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/21

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kujiepusha na ugaidi , misimamo mikali na utumiaji mabavu kwa kisingizio cha kulinda dini.
Habari ID: 2743220    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/22

Waislamu nchini Kenya wanataka vyombo vya habari nchini humo vifanye mabadiliko ya kimsingi kuhusu namna vinavyo tangaza habari kuhusu ugaidi na kuonya kuwa mfumo wa sasa usio wa kitaalamu wa kutangaza habari ni chanzo cha chuki dhidi ya Uislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Habari ID: 2617613    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/11

Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema, madola yanayounga mkono ugaidi yanapaswa kuacha kutoa misaada yao ya moja kwa moja na isiyo ya moja kwa moja kwa magaidi na badala yake yashirikiane na waathirika wa ugaidi .
Habari ID: 2617107    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/09

Kongamano la Kimataifa la Kupambana na Ugaidi na Uchupaji Mipaka lililokuwa likifanyika katika taasisi ya al Azhar nchini Misri limesisitiza katika taarifa yake ya mwisho kuwa, makundi ya kitakfiri na yenye misimamo mikali hayana uhusiano wowote na Uislamu.
Habari ID: 2615265    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/05

Spika wa Bunge la Italia amesema kuwa, dini ya Kiislamu haipaswi kufungamanishwa na vitendo vya kufurutu mipaka vinavyofanywa na makundi ya kitakfiri na kigaidi kama vile Daesh na kusisitiza kwamba jamii ya kimataifa inapaswa kuelewa kwamba misingi ya dini ya Kiislamu ni kutangaza amani na upendo na inalaani ghasia na machafuko
Habari ID: 1461624    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/19

Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, wananchi wa Iran wanaunga mkono mazungumzo ya nyuklia kati ya serikali na kundi la 5+1 sanjari na kuchungwa mistari myekundu ya Jamhuri ya Kiislamu.
Habari ID: 1456638    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/03

Ali Larijani
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge laa Iran amesema kuwa uzoefu wa miaka mingi iliyopita umeonesha kwamba ugaidi na ubeberu ni ncha mbili za mkasi unaotishia Umma wa Kiislamu na kwamba watu wa Iraq, Syria, Afghanistan na Pakistan wamehisi zaidi machungu ya mkasi huo kuliki watu wa maeneo mengine.
Habari ID: 1377233    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/19