IQNA – Siku tatu za maombolezo zilitangazwa nchini Niger baada ya watu 44 kuuawa shahidi katika shambulio kwenye msikiti kusini magharibi mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3480422 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/23
IQNA-Watu 6 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika Msikiti wa Chuo Kikuu cha Haqqaniyya kaskazini magharibi mwa Pakistan.
Habari ID: 3480282 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/01
Jinai
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani shambulio la kigaidi lililoua watu wawili na kujeruhi makumi kadhaa huko Magdeburg nchini Ujerumani.
Habari ID: 3479933 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/21
Diplomasia
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar na kusisitiza kuwa, kuenea machafuko na vitendo vya kigaidi nchini Syria si kwa manufaa ya nchi yoyote ya eneo hili, hivyo ni wajibu wa nchi zote kushirikiana kupambana na vitendo hivyo vya kigaidi.
Habari ID: 3479847 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03
Taarifa
IQNA-Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesikitishwa na shambulizi la kigaidi la Jumamosi dhidi ya msafara wa polisi katika Mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini mashariki mwa Iran ambapo maafisa 10 wa polisi waliuawa shahidi.
Habari ID: 3479676 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/31
Jinai za Israel
IQNA- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeapa kuendeleza mashambulizi yake dhidi ya utawala haramu wa Israel kwa ajili ya kuwatetea watu wa Ukanda wa Gaza, ambao wanaendelea kuuawa kikaktili katika mauaji ya kimbari ya Israel, ikisisitiza kwamba ukatili wa hivi karibuni wa utawala huo ulioua watu kadhaa nchini Lebanon utaimarisha azma yake ya kuendeleza njia ya mapambano na muqawama.
Habari ID: 3479452 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/18
Ugaidi
IQNA-Kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) limedai kuhusika na hujuma ya kigaidi ambaye imepelekea watu wasiopunua 115 kupoteza maisha Moscow, mji mkuu wa Russia,
Habari ID: 3478562 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/23
Ugaidi
IQNA - Shambulio dhidi ya msikiti mashariki mwa Burkina Faso liliua makumi ya Waislamu siku ambayo a shambulio lingine baya dhidi ya Wakatoliki waliokuwa kanisani.
Habari ID: 3478419 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/27
Ugaidi wa Marekani
IQNA-Utawala wa Marekani unaendelea kulaaniwa kufuatia hujuma yake ya kigaidi iliyopelekea kuuawa shahidi Abu Baqer al-Saadi, mmoja wa makamanda wa muqawama wa Kiislamu nchini Iraq.
Habari ID: 3478325 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09
Vita dhidi ya magaidi
TEHRAN (IQNA)- Ofisi ya Rais wa Syria imetoa taarifa ikizungumzia kushindwa ugaidi mbele ya irada na uwezo wa nchi hiyo na kusisitiza kwamba damu ya Mashahidi wa chuo cha kijeshi cha Homs inaongeza azma ya Damascus ya kufikia ushindi kamili.
Habari ID: 3477693 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/06
Vita dhidi ya ugaidi
Nchi za Kiislamu zimelaani vikali mashambulizi mawili ya kigaidi ambayo yamesababisha vifo vya watu wengi nchini Pakistan.
Habari ID: 3477670 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/30
Ugaidi
Takriban watu 52 wameuawa na zaidi ya watu 80 kujeruhiwa katika mlipuko katika jimbo la kusini magharibi la Balochistan nchini Pakistan, kulingana na maafisa wa eneo hilo.
Habari ID: 3477665 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29
Kumbukizi ya Shahidi Soleimani
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Wamarekani wanapaswa kujua kwamba watu wa Iran hawataiacha damu ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani iende burE, na bila shaka watalipiza kisasi kwa damu ya shahidi huyo wa ngazi ya juu.
Habari ID: 3476349 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/03
Hujuma ya kigaidi
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Intelijensia (Usalama) ya Iran imetangaza kuwa, imewatambua na kuwatia nguvuni watu sita katika timu ya usaidizi ya magaidi watenda jinai dhidi ya Haram takatifu ya Ahmad bin Musa (AS) maarufu kama Shah Cheragh huko katika mji wa Shiraz.
Habari ID: 3476015 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/31
Ugaidi Afghanistan
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 32 wameuawa katika shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea mapema leo katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
Habari ID: 3475857 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/30
Ugaidi Afrika
TEHRAN (IQNA)- Shambulio lililofanywa na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh kaskazini mwa Mali limesababisha vifo vya zaidi ya watu 30.
Habari ID: 3475764 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/11
Ugaidi
TEHRAN (IQNA) - Katika ujumbe wake, Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar kimelaani shambulio la kigaidi dhidi ya waumini katika msikiti mmoja ulioko katika mji wa Herat nchini Afghanistan na kulitaja kuwa ni kinyume na maadili ya kidini na kibinadamu.
Habari ID: 3475743 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06
Kadhia ya Kashmir
TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia mwandamizi wa Pakistan amekashifu juhudi za India za kuonyesha haki halali ya mapambano ya uhuru wa Kashmir kama aina ya ugaidi .
Habari ID: 3475646 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19
Vita dhidi ya ugaidi
TEHRAN (IQNA) - Mashirika ya Umoja wa Mataifa yametakiwa kuacha kutumia neno 'Dola la Kiislamu' yanapotaja kundi la kigaidi la Daesh au ISIS.
Habari ID: 3475603 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/10
Jinai za Marekani
TEHRAN (IQNA) Tarehe 3 kila mwaka nchini Iran Julai ni siku ya kumbukumbu ya shambulio la kombora lililofanywa na meli ya kivita ya Marekani ya Vincennes dhidi ya ndege ya abiria ya Iran aina ya Airbus iliyokuwa ikiruka kutoka Bandar Abbas kuelekea Dubai.
Habari ID: 3475460 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/04