Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, jinai za kuogofya za makundi ya magaidi kama vile kukata vichwa na kuwachoma moto watu ni dalili ya kuwa mbali kabisa na Uislamu magaidi hao.
Habari ID: 3455805 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/22
Vitendo vya chuki na utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa vinaripotiwa kuongezeka siku baada ya siku hasa baada ya mashambulio ya kigaidi ya hivi karibuni katika mji mkuu wa nchi hiyo Paris.
Habari ID: 3455375 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/22
Ayatullah Ahmad Khatami
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa wiki mjini Tehran amesema kundi la kigaidi la Daesh au ISIS matakfiri kwa ujumla ni mamluki wa Wazayuni ambao wametumwa kwa lengo la kuwagombanisha Waislamu.
Habari ID: 3454898 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/21
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka nchini Ufaransa imethibitisha kuwa gaidi aliyepanga na kuratibu mashambulizi ya kigaidi ya Paris ameuawa.
Habari ID: 3454889 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/21
Rais Rouhani
Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufaransa wametangaza utayarifu wa nchi hizo mbili kwa ajili ya kushirikiana katika masuala ya usalama na habari za kipelelezi katika fremu ya mapambano dhidi ya ugaidi .
Habari ID: 3454175 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/18
Rais Hassan Rouhani wa Iran leo amelaani hujuma za kigaidi katika mji mkuu wa Ufaransa ambapo zaidi ya Wafaransa 160 wameuawa.
Habari ID: 3448030 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/14
Watu wasiopungua 160 wameuawa katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris Ijumaa usiku katika mashambulizi yanayosadikiwa kuwa makubwa zaidi nchini humo tangu baada ya Vita vya Pili vya Dunia.
Habari ID: 3448027 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/14
Maulama na wasomi wakubwa walioshiriki katika kongamano la pili la kimataifa la 'Kuitafakari Qur'ani' lililomalizika nchini Morocco wamelaani vitendo vya ugaidi na makundi yenye misimamo mikali inayokinzana na mafundisho sahihi ya kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3421794 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/31
Hujuma mbili za kigaidi zilizolenga misikiti kaskazini mashariki mwa Nigeria zimepelekea watu wasiopungua 55 waliuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Habari ID: 3393551 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25
Jumuiya ya Kiutamaduni, Kisayansi na Kielimu ya Nchi za Kiislamu ISESCO imetoa taarifa na kulaani vikali mlipuko wa jana katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara.
Habari ID: 3384025 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/11
Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapema leo kuwa jeshi la ulinzi la taifa hili ni kikosi kikubwa zaidi cha kupambana na ugaidi duniani.
Habari ID: 3366347 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/22
Nchini Kenya Jumuiya ya Mashekhe Waislamu Nairobi NMC wameanzisha msafara wa kuhubiri dhidi ugaidi na misimamo mikali miongoni mwa vijana Waislamu.
Habari ID: 3353707 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/29
Baba ya mtoto Mpalestina wa miezi 18 aliyeuwawa hivi karibuni na masetla Waisraeli wenye misimamo mikali amefariki dunia kutokana na majeraha ya moto aliyopata katika tukio hilo.
Habari ID: 3340027 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/08
Mshtakiwa muhimu zaidi wa shambulio la kigaidi ndani ya msikiti mmoja nchini Kuwait amekiri kuwa ni mwanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
Habari ID: 3339565 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/06
Waislamu nchini Ethiopia wamelaani uamuzi wa mahakama moja ya nchi hiyo ya kuwafunga jela miaka 22 wanaharakati 18 wa Kiislamu kwa tuhuma eti za ugaidi .
Habari ID: 3339480 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/05
Mji mkuu wa Syria , Damascus ni ulikuwa mwenyeji wa kongamano la kimataifa la 'Vyombo vya Habari na Vita Dhidi ya Ugaidi.'
Habari ID: 3332772 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/25
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa wale wanaotaka kuficha uadui wa Marekani na baadhi ya vibaraka wao kwa kutumia nyenzo za kipropaganda ni wasaliti wa taifa na nchi ya Iran.
Habari ID: 3320675 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/28
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kusimama kidete taifa na serikali ya Iraq mbele ya magaidi na Matakfiri ni chanzo cha kudhamini usalama wa eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3315772 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/17
Msomi wa chuo kikuu nchini Senegal ametoa hotuba kali mbele ya balozi wa Saudi nchini humo ambapo ameukosoa utawala wa Saudi Arabia kwa sera zake za undumakuwili na unafiki hasa uungaji mkono wake wa ugaidi na jinai dhidi ya watu wa Yemen.
Habari ID: 3309969 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/01
Magaidi wa kitakfiri wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria wamewaua kwa umati wakaazi wa mji wa Gwoza waliokuwa wamekusanyika kusoma Qur'ani Tukufu kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 2944655 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/08