Ugaidi barani Afrika
TEHRAN (IQNA) – Idara ya Kupambana na Ugaidi ya Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri imetahadharisha kuhusu kuongezeka kwa vitendo vya magaidi nchini Mali.
Habari ID: 3475428 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/26
Hali nchini Afghanistan
TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa Afghanistan wanasema idadi ya watu waliouwawa kufuatia mashambulizi manne ya mabomu yaliyofanyika kwenye basi dogo na msikitini nchini humo imefikia watu 16.
Habari ID: 3475298 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/26
#for_martyrs' sake
TEHRAN (IQNA)- Kampeni ya Kimataifa ya kusoma Qur'ani Tukufu kwa munasaba wa mwaka wa pili tokea auawe shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani imezinduliwa.
Habari ID: 3474735 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa taarifa ya kulaani uamuzi uliojaa chuki wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza wa kuiweka harakati hiyo katika orodha ya 'makundi ya kigaidi.'
Habari ID: 3474577 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu y Iran ameelezea kusikitishwa kwake na kupoteza maisha na kujeruhiuwa idadi kubwa ya raia wa Burkina Faso .
Habari ID: 3474563 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16
TEHRAN (IQNA)- Wanaharakati wa haki za binadmau na utamaduni nchini Afghanistan wameutaka Umoja wa Mataifa utambue rasmi mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan katika miaka ya hivi karibuni kuwa ni mauaji ya kimbari.
Habari ID: 3473927 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/19
Wataalamu wa kimataifa katika mahojiano na IQNA
TEHRAN (IQNA)- Wataalamu wa masuala ya Afghanistan wanasema Marekani na waitifaki wake hawataki kuondoka Afghanistan na wanataka kuibua hofu na wahka ili watu wa nchi hiyo wadhani kuwa bila kuwepo wanajeshi hao ajniabi mauaji yatazidi.
Habari ID: 3473897 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/11
TEHRAN (IQNA)0 Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga shule ya msingi ya Sayed Al-Shuhada mjini Kabul na kuitaja jinai hiyo kuwa ni njama ya Wamarekani ya kutaka kuhuisha ugaidi wa makundi ya kitakfiri na kuvuruga tena amani nchini Afghanistan.
Habari ID: 3473895 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/10
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 20 wameuawa na wengine 30 wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu lililotegwa garini uliotokea nje ya mkahawa mmoja ulioko karibu na bandari katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Habari ID: 3473710 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/06
TEHRAN (IQNA) – Umoja wa Mataifa umelaani hujuma za kigaidi mjini Baghadad ambazo zimepelekea makumi ya watu kuuawa na kujeruhiwa.
Habari ID: 3473582 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/22
TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa Iraq wamesema rais wa Saudi Arabia ni mmoja kati ya magaidi waliotekekeleza hujuma iliyopelekea raia 28 wasio na hatua kuuwa mjini Baghdad.
Habari ID: 3473578 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/21
TEHRAN (IQNA)- Muhammad Ali al-Houthi, mjumbe wa Baraza la Kisisa la Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, Marekani ndio chimbuko la ugaidi na kwamba, serikali ya sasa ya Donald Trump imekuwa ikitekeleza siasa na sera za kueneza ugaidi dunianii.
Habari ID: 3473546 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/11
TEHRAN (IQNA) – Raia 15, wakiwemo watoto 11 wameuawa Ijumaa nchini Afghanistan baada ya bomu kulipuka katika kikao cha kusoma Qur’ani Tukufu kati mwa Afghanistan.
Habari ID: 3473468 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/18
Rais wa ya Iran katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesemam kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendeleza maamuzi na irada ambayo imekuwa ikichukua katika kuiunga mkono serikali na taifa la Syria kama nchi muitifakii wake wa kistratejia na itakuwa bega kwa bega na Syria hadi kupatikana ushindi wa mwisho.
Habari ID: 3473435 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/08
TEHRAN (IQNA) - Ofisi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imelaani mauaji ya raia wasio na hatia wa nchi hiyo yaliyofanywa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram.
Habari ID: 3473422 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/04
TEHRAN (IQNA)- Nchi na viongozi mbalimbali duninani wameendelea kulaani mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran na kusisitiza kuchukuliwa hatua waliohusika na jinai hiyo.
Habari ID: 3473405 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/29
TEHRAN (IQNA) - Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulizi la kigaidi lililotokea nchini Austria na kusema kuwa, kuna udharura wa kuwepo ushirikiano wa jamii ya kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na mizizi ya ugaidi .
Habari ID: 3473326 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/03
TEHRAN (IQNA) - Mshauri wa sera za kigeni wa Spika wa Bunge la Iran ameashiria mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ambaye aliuawa kigaidi kufuatia amri ya rais Donald Trump wa Marekani na kusema, Trump ni gaidi nambari moja duniani.
Habari ID: 3473315 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/31
TEHRAN (IQNA) - Raia zaidi ya 40 na wanajeshi wasiopungua 20 wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3472864 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/14
TEHRAN (IQNA) – Msomi nchini Afrika Kusini amesema jamii barani Afrika zina nafasi muhimu katika kukabiliana na misimamo mikali ya kidini kwani serikali pekee haziwezi kukabiliana na tatizo hilo.
Habari ID: 3472431 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/02