nepal

IQNA

IQNA-Duru ya tatu kwa mashindano ya kila mwaka ya Qur’ani nchini Nepal imeingia hatua ya mwisho, Jumapili. Wizara ya Mambo ya Kiislamu, Da‘wa na Mwongozo ya Saudi Arabia imezindua raundi ya mwisho ya mashindano ya kuhifadhi Qur’ani kwa wavulana na wasichana katika mji mkuu wa Katmandu, ulioko Asia Kusini.
Habari ID: 3481530    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/17

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mji mkuu wa Nepal wa Kathmandu ni mwenyeji wa toleo la pili la mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3479942    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/23

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu (ICRO) amesema ustaarabu mpya wa Kiislamu unaweza kupatikana tu kupitia umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3475302    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/27

TEHRAN (IQNA)-Uislamu unaenea kwa kasi sana Nepal, nchi ambayo aghalabu ya wakaazi wake wengi ni Wahindi au Mabaniani.
Habari ID: 3471159    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/05